Virus gani? Si uvitaje tu unaogopa Nini?Ukisikia virusi kinachokujia kichwani cha kwanza ni vile vijidudu, japo siku hizi kuna hivi hepatitis vinashika kasi.
Ni hatari sana mkuuUmeongea point sana, kwa ambao hawajawahi kwenda hawawezi kukuelewa, nakumbuka niliwahi kufata PEP kule, ebana kuna pisi za shule ya msingi na sekondari zinakula njugu, kuna pisi under 30 ukiziona mtaani unajua umepata tena unawaambia masela hii pisi nakula kavu niifaidi, naipakia na mkongo kumbe unajikaanga kwa mafuta yako. Mungu atulinde tu kwa kweli.
πππKuna pisi nilikuwa naimendea, ikaingia pale nikainyemelea.
Ulitaka kiwe cha siri ili tusiwajue mkipanga foleni?Ivi kwanin iko kitengo katika hospital za serikali kipo hadharani kwamba ukiwa mapokezi ni rahisi kuwaona wapo kwa foleni
Kumbe kilitakiwa kujificha?