Mara (na maeneo jirani): Muda wa saa 4:47am tetemeko limepita

togetherTight

Member
Joined
May 21, 2017
Posts
99
Reaction score
100
Tupeane taarifa zaidi toka maeneo mengine kama kuna madhara au taarifa zozote kuhusu.

Nipo Mwanza.

====
UPDATE

 
Duh poleni sana vipi mpaka sasa umeshuhudia au kusikia madhara yoyote mkuu?!
 
Nipo Mara ,tetemeko la ardhi limepita la hatari ,ilikuwa saa 10 na dakika 50 alfajili ya leo ambalo limeitikisa nyumba kama sekunde 58 hivi ,laiti nyumba hizi zingekuwa sio imara zingekuwa zipo chini ,ila sijajua hali ikoje maeneo mengine,tupeane taarifa

Je huko ulipo hali ikoje ?
 
11 March 2021
Butiama, Musoma
Tanzania

Ukubwa wa tetemeko ni Magnitude 4.7 - limetokea eneo-kitovu dira inasoma kilometa 20 Kusini-Kusini-Magharibi (SSW) ya Tarime Tanzania . Chanzo cha habari kituo cha serikali ya Marekani cha kurekodi matetemeko ya ardhi. https://earthquake.usgs.gov/earthquakes/eventpage/us7000di0h/executive

M 4.7 - 20 km SSW of Tarime, Tanzania​

 
Ngoja tusubiri labda likifika burigi kunaweza kuwa na updates mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…