Mara (na maeneo jirani): Muda wa saa 4:47am tetemeko limepita

Mara (na maeneo jirani): Muda wa saa 4:47am tetemeko limepita

Atafutwe Mshana atoe maelezo kuhusu hilo tetemeko na yanayoendelea nchini kama kuna uhusiano wowote, na kwanini iwe kanda ile ile anayotokea jamaa yetu na kitovu cha tetemeko kiwe nyumbani kwa baba wa taifa.
 
Poleni .Dak 3!! muda ni mrefu Sana huo.huo mjengo ulimo ungekuwa flat,muda huu.la sivyo Basi ulijengwa haswa.
 
1615428577572.jpeg

Tetemeko kubwa latikisa mjji wa Musoma muda huu
 
Yap ni kweli tetemeko limechukuwa muda na pia tusubiri kukuche labda kutakuwa na madhara ndo tutajua
 
Back
Top Bottom