KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Na kwa "Kiungwana" kabisa, "leo hii akitokea pale Magogoni" nitashangilia kwa furaha ya dhati pamoja nawe.Naomba kiungwana kabisa kukuuliza mzee wa kujificha nyuma ya Tastatur. Leo huyo unayemchuria kwa bundle lako akitokea pale magogoni utakuwa muungwana.
Unajua, huu uungwana katufunza yeye, sasa sijui kwa nini wewe umebaki nyuma kiasi hiki!
Au kwa kuwa shibe yako inamtegemea sana yeye?