KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Na kwa "Kiungwana" kabisa, "leo hii akitokea pale Magogoni" nitashangilia kwa furaha ya dhati pamoja nawe.Naomba kiungwana kabisa kukuuliza mzee wa kujificha nyuma ya Tastatur. Leo huyo unayemchuria kwa bundle lako akitokea pale magogoni utakuwa muungwana.
Hata Mara iko kaskazini kiuhalisia.Wewe ni real human or robot?.
Nimeuliza mikoa ya kaskazini, unaniletea kitu gani hiki?
Switch on your compass navigation from your handset, then see direction.Hata Mara iko kaskazini kiuhalisia.
The no. Am dialing isn't reachable.,try again later.Switch on your compass navigation from your handset, then see direction.
Ingekuwa watu wakifa wanaosababisha matetemeko hii dunia ingeshapasukapasuka kitamboNahisi muheshimiwa alitutoka hii siku.
Ilikuwa dalili mbayaSio dalili nzuri
Jichungeni tu na hayo maweMwanza hapa limepita ila halikuwa kubwa sana hivyo hakuna madhara yoyote yaliyotokea.