Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Amewakamia Sana au sioššWanawake malizeni ugomvi wenu na Mtibeli
DuuhHamjambo wote!
Vijana wadogo, huwezi ipuuza Past ya mwanamke unayetaka kwenda kumuoa kwa Sababu past ya Mwanamke ndio future ya Mahusiano yenu.
Kupuuza past yake ni kupuuza future yako.
Zingatia, mtu habadiliki mtu ni yuleyule.
Na ukiona mabadiliko yoyote usiyaamini.
Katika mahusiano ya Mapenzi ya ndoa, future huathiriwa na past.
Yaani past huamu future lakini future haina uwezo wowote wa kuamua past.
Usijesema Taikon sikukujuza.
Nawatakia maandalizi Mema ya Sabato
Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
Mwanaume anazaliwa akiwa hana thamani kwaiyo anatakiwa kuitengeneza thamani yake ndio maana future ya mwanaume ndio ya kuzingatiwa.
Mwanamke anazaliwa akiwa na thamani kwaiyo anatakiwa kuilinda thamani yake ndio maana past ya mwanamke ndio ya kuzingatiwa
Ongea vizuri na bodaboda wa mtaa husika.Tatizo kujua hiyo past, unafanyeje ?
Ni singlefather huyo... lazima amalize kinyongo chote moyoni...tumuache apumueWanawake malizeni ugomvi wenu na Mtibeli