Mara nyingii nyakati za usiku nimekuwa nikiota ndoto nikiwa naongoea na watu waliokufa hasa baba yangu mzazi

Ni kweli zinanisaidiaga lkn naona km ni too much kwanini mimi tu ndiye naota, misiba ikikaribia naonyeshwaga sana, km wa ndg yangu niliota mwaka jana live kabisa nilipomwambia kumpa tahadhari akaniambia nina malaria imepanda kichwani mwaka huu kaondoka, huo ni mfano tu zipo nyingi za aina hiyo mpk sasa nikihesabu ni vifo kama 5 kwenye familia niliota kabla havijatokea

Ndugu wa kiafrika tunajuana kwa fitina ikitokea kuna wananipangia ubaya naoteshwa, au kuna ambae ana jambo lake juu yangu liwe baya au zuri si mara zote basi nitaota.......
Basi ni umejaaliwa kuwa na maono, usikereke mbona ni kitu kizuri tu.... kitumie tu vizuri.
 
Shida kubwa hamaomi vitabu.
Ndoto zinamaaba halisi kabsa kwenye maisha ya mwanadamu kwa mfano wew hapo hizi ndot unazoota zinamaana kabsa kwenye maisha yako.
.
Sina haja ya kukwambia zinamaana gani chakufanya tafuta vitabu vya ndoto vya mwakasege vitakufundisha vzr hizo ndoto zinamaana gani...
 
Habari za usiku wanaJF , ndugu zangu naomba nipate msaada kutota kwenu.

Mara nyingii nyakati za usiku nimekuwa nikiota ndoto nikiwa naongoea na watu waliokufa hasa baba yangu mzazi na mdogo anaenifuata. hawa wote ni wafu,
Mdogo wangu alitangulia kufarikiriki December 2010 kipindi hicho mimi ndio nilikuwa nimemaliza form 4 nilikuwa nasubiri matokeo, babaangu alifariki 2017 wakati ambao nilikuwa namalizIa UE.

Muda wote nikiwa nao kwenye ndoto zangu nimekwa nikiota tukiwa wote kwenye wakati wa furaha. Nimekuwa nikiyaona yale maisha ambayo nimekulia, nimekuwa nikimuona babaabu halisi. Mdogo wangu mara nyingi nimekuwa nikishirikiana nae kwenye hizi hustle za kila siku . Nina ndugu wengi wengi sana lkn mara nyingi nimekuwa nikiomuota BABA na MDOGO WANGU,

Lakn pia kuna wakati naota kufanya mitihani ya shule ambayo sikujiandaa. kwenye ndoto hii mara nyingi huwa nakuwa na mshituko, hata ninaposhituka lazima mapigo ya moyo yabadirike.

Huu ni ukweli ninaowaeleleza. Haiwezi ikapita wiki moja sijaota nikiwa na Babaangu au mdogo wamgu .

Hii ina maana gani?
Kuota

Kumuota baba yako mzazi au baba yako mdogo unaonge nae ni dalili yao hao wazazi wako wanatakiwa uwaombee dua umewasahau siku nyingi hujawaombea dua waombee dua aka maombi. NA Ukiota upo shuleni na unaamka unastuka ni dalili mambo yako yanaharibika kimaisha mtafute mtu akufanyie dua aka maombi ili mambo yako yawe mazuri yasije kuharibika.
 
Ni kweli zinanisaidiaga lkn naona km ni too much kwanini mimi tu ndiye naota, misiba ikikaribia naonyeshwaga sana, km wa ndg yangu niliota mwaka jana live kabisa nilipomwambia kumpa tahadhari akaniambia nina malaria imepanda kichwani mwaka huu kaondoka, huo ni mfano tu zipo nyingi za aina hiyo mpk sasa nikihesabu ni vifo kama 5 kwenye familia niliota kabla havijatokea

Ndugu wa kiafrika tunajuana kwa fitina ikitokea kuna wananipangia ubaya naoteshwa, au kuna ambae ana jambo lake juu yangu liwe baya au zuri si mara zote basi nitaota.......
hua wanasema ukiwa na kipawa cha maono usimwambie kila mtu,,kama ni mkristo utakua umesoma kwenye biblia,, Yusuf alipowaambia ndyguze kuhusu maono yake, tazama fitina walizomfanyia.
 
Dah....! Mungu akusaidie...!

Hizo Ndoto sio za kawaida, una Changamoto za Kiroho, Mzazi wako na Mdogo wako hawakufa vifo vya kawaida...!

Umekua connected na Mizimu ya kwenu, itakusumbua Sana usipochukua hatua...!

Anza kufanya Maombi ya Nguvu kama wewe ni Mkristo, ukifunga pia....! Vunja Hiyo connection, coz kwenye Biblia inasema hakuna Communication na walio kufa, ukiona inakuepo, ujue haupo salama!

Naongea Kwa Uzoefu...!!
 
Ni kweli zinanisaidiaga lkn naona km ni too much kwanini mimi tu ndiye naota, misiba ikikaribia naonyeshwaga sana, km wa ndg yangu niliota mwaka jana live kabisa nilipomwambia kumpa tahadhari akaniambia nina malaria imepanda kichwani mwaka huu kaondoka, huo ni mfano tu zipo nyingi za aina hiyo mpk sasa nikihesabu ni vifo kama 5 kwenye familia niliota kabla havijatokea

Ndugu wa kiafrika tunajuana kwa fitina ikitokea kuna wananipangia ubaya naoteshwa, au kuna ambae ana jambo lake juu yangu liwe baya au zuri si mara zote basi nitaota.......
Una roho ya unabii. Kama vipi tufanye mpango tufungue kanisa tu. Wewe utahubiri na kutabiria watu mimi nitafundisha vipindi vya vijana, mambo ya ndoa na kutunza pesa. Miaka mitano tu tunakuwa mamilionea tena wa US $. Unasemaje? 😁😁😁
 
hua wanasema ukiwa na kipawa cha maono usimwambie kila mtu,,kama ni mkristo utakua umesoma kwenye biblia,, Yusuf alipowaambia ndyguze kuhusu maono yake, tazama fitina walizomfanyia.
Ni kweli huchelewi kuitwa mchawi,
 
Ndoto hizo ni kawaida kwa wapendwa wako sababu ni watu umeishi nao muda mrefu.
 
Mkuu, mambo uliyoeleza yanafanana na mimi 95%. Lakini nikupe moyo hakuna kitu kibaya wala usiwe na hofu juu ya lolote
Mimi pia mzee wangu katangulia mbele ya haki na ninapomuota mara kwa mara huwa nachoma ubani na kusoma dua...
 
Kuota

Kumuota baba yako mzazi au baba yako mdogo unaonge nae ni dalili yao hao wazazi wako wanatakiwa uwaombee dua umewasahau siku nyingi hujawaombea dua waombee dua aka maombi. NA Ukiota upo shuleni na unaamka unastuka ni dalili mambo yako yanaharibika kimaisha mtafute mtu akufanyie dua aka maombi ili mambo yako yawe mazuri yasije kuharibika.
Ni kweli niliota nipo shule o_level tunafanya mtiani wa chemistry na mdogo angu Kuna swali lilinishinda akawa ananisaidia majibu..

Jion yake nikagongwa na gari nikavunjika mguu after two weeks mdogo angu na yeye akapata ajar akavunjika pia...
 
Nenda google
 
Attachments

  • Screenshot_20240629-230232_1.jpg
    Screenshot_20240629-230232_1.jpg
    53.8 KB · Views: 8
Back
Top Bottom