Mara paaa!! Lowasa Arejesha kadi ya chadema.

Tatizo la siasa za Afrika sehemu nyingi ni kwamba zinazungukia watu badala ya sera.
Ulitoa hoja kunti wakati ule kwamba watu wengi, hasa vijana na wasiojiamini, hupenda kufuata mikumbo (kama bendera na upepo) kuliko kitu/jambo analoliamini.

Wengi wa JF upinzani walimfuata Lowassa sasa karudi CCM sijui watahama naye pia na kuacha kumchafua Rais Magufuli na Serikali kwa lugha chafu.

Lowassa kaonesha ni mwanasiasa aliyekomaa. Hatutashanga kama viongozi wa Upinzani, na wafuasi wao, hawataanza kumzushia tuhuma na matusi juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningeoga maji ya kuondoa mikosi.maana ni ndoto mbaya kuwahi kutokea kwa mwanaadam wa leo hii tena katika dunia hii.ushauri wangu we muanzisha huu uzi."lala kisha nawa uso,usipige mswaki maana kinywa chako hakitanuka.ndipo uamke sasa
unayakumbuka haya maneno yako [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: y-n
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…