Mara paaa!! Lowasa Arejesha kadi ya chadema.

Mara paaa!! Lowasa Arejesha kadi ya chadema.

Tatizo la siasa za Afrika sehemu nyingi ni kwamba zinazungukia watu badala ya sera.
Ulitoa hoja kunti wakati ule kwamba watu wengi, hasa vijana na wasiojiamini, hupenda kufuata mikumbo (kama bendera na upepo) kuliko kitu/jambo analoliamini.

Wengi wa JF upinzani walimfuata Lowassa sasa karudi CCM sijui watahama naye pia na kuacha kumchafua Rais Magufuli na Serikali kwa lugha chafu.

Lowassa kaonesha ni mwanasiasa aliyekomaa. Hatutashanga kama viongozi wa Upinzani, na wafuasi wao, hawataanza kumzushia tuhuma na matusi juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom