Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitoa hoja kunti wakati ule kwamba watu wengi, hasa vijana na wasiojiamini, hupenda kufuata mikumbo (kama bendera na upepo) kuliko kitu/jambo analoliamini.Tatizo la siasa za Afrika sehemu nyingi ni kwamba zinazungukia watu badala ya sera.
unayakumbuka haya maneno yako [emoji23][emoji23]Ningeoga maji ya kuondoa mikosi.maana ni ndoto mbaya kuwahi kutokea kwa mwanaadam wa leo hii tena katika dunia hii.ushauri wangu we muanzisha huu uzi."lala kisha nawa uso,usipige mswaki maana kinywa chako hakitanuka.ndipo uamke sasa