Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Hahaa daah wewe sio fresh[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] nenda Italy patakufaa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa daah wewe sio fresh[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] nenda Italy patakufaa sana.
Hizi fantansies za kipumbavu sana
Badala tukae na kujengea our own civilization,tuko hapa tukapiga stori za kipumbavu sana kama zile tukiwa la pili au la tatu!
Mentality za ajabu sana hizi,za kua na ndoto ya kwenda kulowea alichojenga superior race zaidi yako!
Upumbavu ulioje!
kwani Italy ni pabaya mbona ni nchi nzuri tu.
Hizi fantansies za kipumbavu sana
Badala tukae na kujengea our own civilization,tuko hapa tukapiga stori za kipumbavu sana kama zile tukiwa la pili au la tatu!
Mentality za ajabu sana hizi,za kua na ndoto ya kwenda kulowea alichojenga superior race zaidi yako!
Upumbavu ulioje!
duh naona mnaanza kugombaniana urithi.
Usichukulie kila KITU seriously.Kuchukua White House?
Kwanini usijenge yako?
Unavamia civilizations za wengine ambazo obviously better and modern than yours!
More developed civilizations maana yake ni kwamba wamekuzidi akili wewe ambae civilization yako ipo backward!
Tupo hapa tunaongelea wishful thinking ya kwenda eti kuchukua civilizations za watu baada ya natural calamities kutokea!
Inaonesha hata force ya kwenda kuchukua sasa hivi huna maana civilization yako ipo nyuma mno haina technology ya kuweza ku conquer these superior civilizations,hivyo unaishia kuomba natural calamities zitokee ili uende kurithi civilization ambayo si yako
KwakweliUsichukulie kila KITU seriously.
Sometimes watu wanahitaji kupunguza stress
Sent using Jamii Forums mobile app
NKuchukua White House?
Kwanini usijenge yako?
Unavamia civilizations za wengine ambazo obviously better and modern than yours!
More developed civilizations maana yake ni kwamba wamekuzidi akili wewe ambae civilization yako ipo backward!
Tupo hapa tunaongelea wishful thinking ya kwenda eti kuchukua civilizations za watu baada ya natural calamities kutokea!
Inaonesha hata force ya kwenda kuchukua sasa hivi huna maana civilization yako ipo nyuma mno haina technology ya kuweza ku conquer these superior civilizations,hivyo unaishia kuomba natural calamities zitokee ili uende kurithi civilization ambayo si yako
Poa mkuu Yale ma real estate ya pale sio mchezo juzi Kati tu hapa Jeff bezos kavuta mansion ya 150$M just imagine[emoji44][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Safari ni ndefu sana hapa Mkuu utaniachia hata ekar kadhaa hivi
Hizi fantansies za kipumbavu sana
Badala tukae na kujengea our own civilization,tuko hapa tukapiga stori za kipumbavu sana kama zile tukiwa la pili au la tatu!
Mentality za ajabu sana hizi,za kua na ndoto ya kwenda kulowea alichojenga superior race zaidi yako!
Upumbavu ulioje!
Mkuu zile Casino za Las Vegas nimeshaziwahi bro tafuta machaka mengine mbona yapo mengi tu bro.Poa mkuu Yale ma real estate ya pale sio mchezo juzi Kati tu hapa Jeff bezos kavuta mansion ya 150$M just imagine[emoji44]
Nikitoka hapo naingia Las Vegas nevada nakamtia hotel zote na makasino [emoji1787][emoji1787][emoji1787](akili za kiafrika)
Sent using Jamii Forums mobile app