Mara Paaap!! Tumebaki watu weusi tupu

Nimejikuta na😅😅😅 mawazo ya waTZ wenzangu😅...Nyie jimilikisheni majengo na mali zote, mie nimewahi gamboshi zote mtakazoziacha Africa.
 

Mimi nilipo ona hii thread nilistuka sana, ila nikaona nichangie kimzaa mzaa kiukweli ni mawazo finyu sana na tunasafari ndefu sana Mkuu
 
Kwahio ume mind mimi kuchukua White House?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahio ume mind mimi kuchukua White House?

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuchukua White House?

Kwanini usijenge yako?

Unavamia civilizations za wengine ambazo obviously better and modern than yours!

More developed civilizations maana yake ni kwamba wamekuzidi akili wewe ambae civilization yako ipo backward!

Tupo hapa tunaongelea wishful thinking ya kwenda eti kuchukua civilizations za watu baada ya natural calamities kutokea!

Inaonesha hata force ya kwenda kuchukua sasa hivi huna maana civilization yako ipo nyuma mno haina technology ya kuweza ku conquer these superior civilizations,hivyo unaishia kuomba natural calamities zitokee ili uende kurithi civilization ambayo si yako
 
Usichukulie kila KITU seriously.

Sometimes watu wanahitaji kupunguza stress

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe umejenga yako? N

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Safari ni ndefu sana hapa Mkuu utaniachia hata ekar kadhaa hivi
Poa mkuu Yale ma real estate ya pale sio mchezo juzi Kati tu hapa Jeff bezos kavuta mansion ya 150$M just imagine[emoji44]

Nikitoka hapo naingia Las Vegas nevada nakamtia hotel zote na makasino [emoji1787][emoji1787][emoji1787](akili za kiafrika)

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nafikiri hapa ume overreact.

Jukwaa la mzaha unategemea ukute kitu tofauti na mzaha!
 
Mimi new york yote nimewahi. Nitakuwa natembea kwa madaha na machejo katika mitaa yote. Usiku nalala barabarani tu, maana niko peke yangu, hakuna magari, hakuna polisi.
 
Mkuu zile Casino za Las Vegas nimeshaziwahi bro tafuta machaka mengine mbona yapo mengi tu bro.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…