Mara Paaap!! Tumebaki watu weusi tupu

Sio bure kuna sehemu una shida au ni ujuaji umekuzidi huwezi fikiria hata huu uzi upo jukwaa gani?

Sent using Jamii Forums mobile app

And hiyo ina suppose to mean what?

Kwamba ni sahihi ku-think hizi wishful thinking kama tupo la Pili?

Society inapofanya vitu kwa wingi na ni vya hovyo hua wanadhani ni sahihi!

Group ignorance ndio hii
 
Tafuta eneo la eka kama tatu hadi tano wape wazungu kila mtu na eka yake, baada ya miaka 10 yachukue wape kina sisi halafu baada ya mwaka au mwaka na nusu ikizidi sana miaka miwili linganisha utofauti.
 
Mkuu vp una niandama kama nmekugongea demu wako? unatafuta nini huku si uende huko kwa wenzako kina MO mkajadili mambo ya maana kwani lazma wote tuwe matajiri? Hamia jukwaa linalo kufaa ni bure usipate taabu na mimi
And hiyo ina suppose to mean what?

Kwamba ni sahihi ku-think hizi wishful thinking kama tupo la Pili?

Society inapofanya vitu kwa wingi na ni vya hovyo hua wanadhani ni sahihi!

Group ignorance ndio hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Vijana wa bongo fleva bwana, kuweni na tabia ya kujisomea mjuwe ukweli - nani aliyekudanganya kuwa Mzungu ni MUNGU mpaka umsujudu hivyo? Soma historia ya mwanadamu ndipo utajuwa ukweli wako.
 
Kutuma Uzi kama huu kipindi hiki ambacho wote tunajua kinacho endelea huko kwenye nchi za wenzetu sio sawa... Kuna utani huwa hauvutii kutokana na kushindwa kusoma alama za nyakati.


Hivi ingekuwa ni Afrika ndio tunaongoza kwa vifo alafu mzungu aposti kitu kama hichi kwenye social media ingekuaje?... Nadhani kingekua too viral na waafrika tungelalamika sana, Embu tujifunze kuvaa viatu vya watu wengine kwanza kabla ya kupost



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupunguza stress ni kufanya ujinga?

Kanye barabarani basi tujue umefanya ujinga hasa na unatoa stress hasa!

If you wanna be a monkey ,be a gorilla kabisa!
Duuh! Pole Mr Kama nimeingilia Maslahi yako, uskute kuna watu wanalelewa na Madodo humu, kwahiyo Uzi kama huu wakiuamini unakua Habari Mbaya sana Kwao.

Kunywa maji huku ukimwangalia Mr Bones! Maana upo kwenye Karantini ya Fikra zako mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kinachoendelea wapi ambapo katika nchi yako au africa au kwa watu weusi hakiendelei?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umepotea jukwaa?
 
Siyo sahihi, soma vizuri historia ya mtu mweusi, kabla ya ukoloni every thing was smooth, na maendeleo yalikuwepo, hakukuwa na vita wala magonjwa yanayotusumbua kwa sasa, black race survived,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…