Mara paap hakuna smartphone

Mara paap hakuna smartphone

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
50,587
Reaction score
71,492
Nitakosa raha,,usiku Utakuwa mrefu,,simu yangu huwa inanibembeleza,inanichekesha nikiingia zangu insta,WhatsApp
Alieleta smartphone abarikiwe maana imetufanya wengine tutulie majumbani,umbea tunaupiga huku tumekaa nyumbani,,,pia bila kusahau kusutana ni kwenye simu tu,kupata habari mbali mbali,,na mengine mengii
Simu kwangu ni kila kitu inanipa raha
Kuna watu humu watakufa aisee,,na tutaandamana mbele watakuwepo kina hr666,,simu hizii ,
Simu yangu huniangukia usoni puu wakati nikichart nikiwa nimelala wala hata sichukii naichukua na kuendelea kuperuzi,,Leo itokee haipo mweee!!! Hatutakubali
Wapenda porn sasa hapa utawauaa aisee,,wapenda picha za ngono wqllah kuandamana lazima
Je we ikipotea smartphone utafanyaje utapungukiwa nin?
 
Nitakosa raha,,usiku Utakuwa mrefu,,simu yangu huwa inanibembeleza,inanichekesha nikiingia zangu insta,WhatsApp
Alieleta smartphone abarikiwe maana imetufanya wengine tutulie majumbani,umbea tunaupiga huku tumekaa nyumbani,,,pia bila kusahau kusutana ni kwenye simu tu,kupata habari mbali mbali,,na mengine mengii
Simu kwangu ni kila kitu inanipa raha
Je we ikipotea smartphone utafanyaje utapungukiwa nin?
Nitachelewa kupata ubuyu wa motomoto. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Aliyeleta smart phone ameleta matatizo

Ofisini ufanisi 0
Watoto hawasomi muda wote wanachezea smart phone

Ujamaa ,ushirikiano katika jamii ,mtaani,ujirani umekufa

Ningekuwa rais ningepiga marufuku total ban

Na bundle zingepandishwa mb200 kwa 7000/=
 
Hivi kwa nini na nyie wanaume wa Dar es salaam mnapenda ubuyu tofauti na sisi mnaotuita wa mikoani??
Hakuna asiye penda ubuyu,tunapishana aina ya ubuyu tu.

Wapo wanaopenda ubuyu kutoka kwa wasanii na waigizaji.

Wapo wanaopenda ubuyu kuhusu mambo ya siasa.

Wapo wanaopenda ubuyu kuhusu maisha binafsi ya majirani na ndugu zao.
 
Mleta mada mimi ni me nikianza kutumia simu kwa mara ya kwanza 2008 motorola l 6 ,kitendo cha kujua tu matumizi ya internet kilibadili maisha yangu kwa kiasi kikubwa .
Sasa ni miaka tisa kwa kweli smartphone inanifanya niwe na furaha napenda kuchezea simu nzuri hasa kutoka big brandy kama kina samsung apple na microsoft naipenda sana smartphone
 
Aliyeleta smart phone ameleta matatizo

Ofisini ufanisi 0
Watoto hawasomi muda wote wanachezea smart phone

Ujamaa ,ushirikiano katika jamii ,mtaani,ujirani umekufa

Ningekuwa rais ningepiga marufuku total ban

Na bundle zingepandishwa mb200 kwa 7000/=
Mwee hatutaaki washushe I we bure kabisa
 
Hakuna asiye penda ubuyu,tunapishana aina ya ubuyu tu.

Wapo wanaopenda ubuyu kutoka kwa wasanii na waigizaji.

Wapo wanaopenda ubuyu kuhusu mambo ya siasa.

Wapo wanaopenda ubuyu kuhusu maisha binafsi ya majirani na ndugu zao.
Ndio mkaanzsha na kipindi cha wawadu sjui shilawadu??
 
Back
Top Bottom