KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Watanzania walishaachana na matumizi ya akili muda mrefu sana ni mihemko tu kwa kwenda mbele......
Hakuna aliye tayari kuusikia ukweli......
Hakuna aliye tayari kuusikia ukweli......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mshana jr mzee wa projection, inbox yangu hujajibuProjection 80% hatamaliza kifungo chake
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Huyo kutoka anaweza kutoka lakini wakili wake na japo lake walikuwa wana utetezi dhaifu sana hadi kwenda kuokoteza DR feki mke wa Slaa....
Wakate rufaa na wajipange tena....
Walio mlilia wengi ni wanafiki tuu...hata Kanumba angelikuwa hai na Lulu amnekufa wangeli mlilia Kanumba....
Mimi binafsi sijasikitishwa chochote na hukumu yake maana amevuna alichopanda..
Hata hivyo wazazi wake walipaswa kushitakiwa maana wao ndio wamesababisha haya.....
Aiseee...!!Hilo limjamaa hapo pichani nalo si lipo Single?