Mara paap! Lulu kaachiwa huru!!!!

Mara paap! Lulu kaachiwa huru!!!!

ac7f784efa4514241877ca1ddd089f9f.jpg
 
Na atoke tu siku hizi amejitambua jela sio sehemu nzuri uwe unakosa au umesingiziwa
 
Natamani sana Mheshimiwa amtoe,
huyu binti amebakwa tokea akiwa mtoto mdogo sana
hata akili zake zitakuwa zimedhurika pia;

Naamini atamtoa tu.
 
Tena kwa miaka 2 kangeweza hata kuongeza Cert au hata ka Diploma ya fani anayotaka, yeye tu, achukulie hili janga kama fundisho katika kupunguza kasi yake maishani..Jela sio mwisho wa maisha, hasa kama ni miaka 2 tu..
 
Back
Top Bottom