Mara paap mitandao ya simu yawaingizia kila mtanzania Milioni 5

Mara paap mitandao ya simu yawaingizia kila mtanzania Milioni 5

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2013
Posts
942
Reaction score
567
Daa nawaza tu hivi hawa jamaa siku hawawezi kuamua tu kila mtz aingiziwe M5 salio la pesa.

Siku hiyo sijui itakuwaje karibuni wachumi
 
Numbers to [emoji387] [emoji385] [emoji384] [emoji386] [emoji383]
 
Hizi ni dalili mbaya, vyuma vimekaza balaa mpaka tunaanza kuwaza yasiyowezekana, tukitumiwa wote milioni 5 itashuka thamani na kuwa tu kama 5,000. If everybody were rich, we'd all be poor !!!
Sio kweli wakifanya mara moja tu wasirudie tena uchumi utapaa
 
Back
Top Bottom