UMASIKINI BWANA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 942
- 567
Daa nawaza tu hivi hawa jamaa siku hawawezi kuamua tu kila mtz aingiziwe M5 salio la pesa.
Siku hiyo sijui itakuwaje karibuni wachumi
Siku hiyo sijui itakuwaje karibuni wachumi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
That's my name[emoji1]UMASIKINI BWANA
Sio kweli wakifanya mara moja tu wasirudie tena uchumi utapaaHizi ni dalili mbaya, vyuma vimekaza balaa mpaka tunaanza kuwaza yasiyowezekana, tukitumiwa wote milioni 5 itashuka thamani na kuwa tu kama 5,000. If everybody were rich, we'd all be poor !!!
Mkuu, naona unafanya subra ya embe chini ya mnazi........Daa nawaza tu hivi hawa jamaa siku hawawezi kuamua tu kila mtz aingiziwe M5 salio la pesa.
Siku hiyo sijui itakuwaje karibuni wachumi