Mara Paap! Taifa Stars hii Hapa World Cup!! Itakuwaje?

Hakuna siku unaweza kukuta timu ulizotaja hapo kuwa kundi moja.
Soka ni biashara ndugu.

Kuhusu Stars inawezekana,. Lakini siyo hili la Qatar.
Hukunielewa tu mkuu.
Nilimaanisha itakuwaje tukiwa kundi moja na Timu kama nilizotaja.
Nikimaanisha team mojawapo
 
Shida watu hawasemi ukweli. Mpaka sasa ili tuende huko tuna mechi 4 za kushinda.
 
Jamii ya mpira haijwa tayari kwenda kwenye mashindano makubwa Ila tuna mihemko ya kufika uko.
Mpira hauna shortcut,mpira ni uwekezaji kwenye miundombinu, waalimu, waamuzi, makocha n.k. sisi maeneomengi tunaleta ujanjaujanja.
 
Kama World Cup ya kubambikia watu vyesi tunarudi na kombe kabisa tena hadi litatukera. 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Tanzania inaweza kufuzu kwanza timu ikijiamini pili mashabiki (Watanzania)kuamini kwamba inawezekana kwenda Qatar 2022....sio maneno ya kichawi kichawi na kuwalaani wachezaji na serikali inayojitolea kufanikisha hilo.
Togo yakina Adebayor waliwezaje kucheza world cup?
Walikuwa na mchezaji maarufu mmoja tu...mkijiamini mnatoboa kabisa
....lakini wabongo wengi hawana matumaini
Nafasi ya Tanzania ni nzuri kama itaweka malengo ya kufika Qatar wachezaji wajitume kwa jasho na damu yaani ile kupigana mpaka unabaki fuvu.
 
Hapa zinahitajika Team 5.
Tutatoboa tukipangwa na team ipi?
1.Algeria
2.Tunisia
3.Nigeria
4.Ivory Coast
5.Mali
6.Egypt
7.South Africa
8.Senegal
9.Morocco
10.Tanzania
 
Nne kivipi?..tukishafuzu kundi tunaweza kudraw away na tukashinda home na tukaenda Qatar

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii hatua ya awali sio shida.
Baada ya makundi kuna vimechi viwili vya Mtoano hapo ndio ngoma.

Ni ngumu sana lakini inawezekana.
 
Hukunielewa tu mkuu.
Nilimaanisha itakuwaje tukiwa kundi moja na Timu kama nilizotaja.
Nikimaanisha team mojawapo
Sawa mkuu. Asante kwa ufafanuzi, asante pia kwa uvumilivu na namna ulivyojibu.[emoji120]
 
Hapa zinahitajika Team 5.
Tutatoboa tukipangwa na team ipi?
1.Algeria
2.Tunisia
3.Nigeria
4.Ivory Coast
5.Mali
6.Egypt
7.South Africa
8.Senegal
9.Morocco
10.Tanzania
South africa,Nigeria,Egypt hawana historia nzuri ya kufuzu kombe la dunia kwa umri wangu tangu mtoto mpaka leo hii nimewaona mara moja wakicheza world cup kule Russia...tukikutana nao tunaweza jitahidi,Mali pia tunawezajitahidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…