Egypt ndio kina Mo SalahSouth africa,Nigeria,Egypt hawana historia nzuri ya kufuzu kombe la dunia kwa umri wangu tangu mtoto mpaka leo hii nimewaona mara moja wakicheza world cup kule Russia...tukikutana nao tunaweza jitahidi,Mali pia tunawezajitahidi.
Hahahah Man u walikula 3.sisi kipindi beki Yondani na Nadir akatupiga mbili.sasa hivi beki ni Bakari na Kennedy sijui tutakula ngapi.Egypt ndio kina Mo Salah
Huu uzi unatembea taratibu, nafikiri utaensa mpaka siku tunafika Nusu final World Cup,hahaha ila napenda watz hawaoni chance yoyote ya kufuzuu, yaani tunakataana wenyewe..hatari sana,Hahahah Man u walikula 3.sisi kipindi beki Yondani na Nadir akatupiga mbili.sasa hivi beki ni Bakari na Kennedy sijui tutakula ngapi.
Hakuna kisichowezekana chini ya jua lakini hilo lije baada ya kuangalia uhalisia wa mambo kwanza.Turoge sana tunaweza kufuzu.
Nilikuwa Taifa nilichoshuhudia nimeshuhudia kwa kweli.Huu uzi unatembea taratibu, nafikiri utaensa mpaka siku tunafika Nusu final World Cup,hahaha ila napenda watz hawaoni chance yoyote ya kufuzuu, yaani tunakataana wenyewe..hatari sana,
Majibu ni mengi.
Mara unaota ww amka kafanye kazi.
Sio poa
Uhalisia nimeushuhudia kwa macho yangu pale taifa.Hahahah Man u walikula 3.sisi kipindi beki Yondani na Nadir akatupiga mbili.sasa hivi beki ni Bakari na Kennedy sijui tutakula ngapi.
Hakuna kisichowezekana chini ya jua lakini hilo lije baada ya kuangalia uhalisia wa mambo kwanza.Turoge sana tunaweza kufuzu.
Nadhani sasa huyu aliyekuwa anaota stars kwenda Qatar, ameshatoka usingizini tayarMuombe aliekaribu yako akupige Kofi ili utoke usingizini haraka sana