Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,443
- 4,006
Wasukuma sio 'Predominant' wa mkoa wa Mara acha upotoshaji.Umesahau kitu kimoja. Kabila kuu la 3 (kati ya 26) Mkoani Mara ni Wasukuma, wako Bunda na Ikizu na Majita. Kwa Kisukuma Manyama maana yake ni manyama yaani mlanyama yaani asili yae muwindaji. Mwaka 1957 ilipoundwa Serengeti National Park kabila lililoathirika zaidi ni Wasukuma wa Meatu wakifuatiwa na Wangoreme wa Fort Ikoma na Washashi wa Ikizu, Wamasai walikuwa wachache sana na Watatoga wa porini.
Ukianza kusema hivyo hata Morogoro na Katavi wamejaa wafugaji na wakulima wakisukuma (Migrant from North through West Akelaham-Africa)