LGE2024 Mara waridhishwa na mchakato wa Uchaguzi Serikali za Mitaa, waomba mamlaka ziendelee kufanya kazi nzuri ili haki ipatikane kwa kila mgombea

LGE2024 Mara waridhishwa na mchakato wa Uchaguzi Serikali za Mitaa, waomba mamlaka ziendelee kufanya kazi nzuri ili haki ipatikane kwa kila mgombea

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Hawa wanamvua nguo Nchimbi aliyesema demokrasia yetu bado changa na hivyo OR TAMISEMI ilegeze kamba kidogo! Watu maefurahia zoezi yeye anataka waonekane wanoko!

====

Baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa mkoani Mara wameeleza kuridhishwa na mchakato wa uchukuaji na urejeshaji wa fomu kwa wagombea na kuiomba mamlaka kuendelea kusimamia taratibu na sheria ili haki ipatikane kwa kila mgombea licha ya kuwepo changamoto ndongondogo.

Soma Pia:
 
Back
Top Bottom