Waibe then wapangiwe majukumu mengine badala ya kushtakiwa?Ally Hapi mkuu wa mkoa wa Mara anga'ka baada ya kupata taarifa ya ubadhirifu huo wa fedha za umma ametoa agizo kwa mkuu wa wilaya hiyo JOSHUA NASSARY kumoa taarifa za wote waliohusika ili apeleke majina hayo TAMISEMI wapangiwe majukumu mengine
Hata hivyo mkuu wa wilaya hiyo ameeleza kwamba wakuu wa idara wamekuwa wakinunua vifaa vya ujenzi na kuviacha kwenye maduka hayo kwa kisingizio kuwa hawana stoo ya kuweka vifaa hivyo.
Waripotiwe kwa Waziri Bashungwa na Naibu Dugage.Ally Hapi mkuu wa mkoa wa Mara anga'ka baada ya kupata taarifa ya ubadhirifu huo wa fedha za umma ametoa agizo kwa mkuu wa wilaya hiyo JOSHUA NASSARY kumoa taarifa za wote waliohusika ili apeleke majina hayo TAMISEMI wapangiwe majukumu mengine
Hata hivyo mkuu wa wilaya hiyo ameeleza kwamba wakuu wa idara wamekuwa wakinunua vifaa vya ujenzi na kuviacha kwenye maduka hayo kwa kisingizio kuwa hawana stoo ya kuweka vifaa hivyo.
Awamu ya upigaji hii.Waibe then wapangiwe majukumu mengine badala ya kushtakiwa?
Ally Hapi mkuu wa mkoa wa Mara anga'ka baada ya kupata taarifa ya ubadhirifu huo wa fedha za umma ametoa agizo kwa mkuu wa wilaya hiyo JOSHUA NASSARY kumoa taarifa za wote waliohusika ili apeleke majina hayo TAMISEMI wapangiwe majukumu mengine
Hata hivyo mkuu wa wilaya hiyo ameeleza kwamba wakuu wa idara wamekuwa wakinunua vifaa vya ujenzi na kuviacha kwenye maduka hayo kwa kisingizio kuwa hawana stoo ya kuweka vifaa hivyo.
Bill of quantities ipo inaweza leta ulinganisho na hali halisi ya site ilivyo.Waangalie
Variable muhimu hapo kuangalia ni: cost vs plan, procurement process kulikua na ushinda ni?