Mara: Wilaya ya Bunda yatumia milioni 60 kujenga msingi wa jengo moja la kituo cha afya

Mara: Wilaya ya Bunda yatumia milioni 60 kujenga msingi wa jengo moja la kituo cha afya

Ni wazi kwamba Nassary ameonyesha uwezo mdogo wa kusimamia miradi
 
Ally Hapi mkuu wa mkoa wa Mara anga'ka baada ya kupata taarifa ya ubadhirifu huo wa fedha za umma ametoa agizo kwa mkuu wa wilaya hiyo JOSHUA NASSARY kumoa taarifa za wote waliohusika ili apeleke majina hayo TAMISEMI wapangiwe majukumu mengine

Hata hivyo mkuu wa wilaya hiyo ameeleza kwamba wakuu wa idara wamekuwa wakinunua vifaa vya ujenzi na kuviacha kwenye maduka hayo kwa kisingizio kuwa hawana stoo ya kuweka vifaa hivyo.
Hiyo ni wilaya ngumu sana kuiongoza kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bill of quantities ipo inaweza leta ulinganisho na hali halisi ya site ilivyo.

Nacho shukuru kwa sasa taarifa zinatoka tofauti na enzi za Giza.Ujue kuna watu wanaamini eti awamu ya 5 watu walikuwa hawajipimii [emoji1787][emoji1787].

Huwa Nawapa jibu rahisi tuu,wafuatilie taarifa yeyote ya CAG watapatamajibu.
Una uelewa mdogo sana kuhusu report ya CAG .CAG akitoa hoja ndo inatakiwa zijibiwa na idara husika haimaaanishi eti kuwa huo ni wizi na ndo maaana zinajibiwa na chachi ndo zinabaki huko mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Awamu ya upigaji hii.
Ukipiga vi milioni stini kwenye halmashauri ndogo unahamishiwa kwenye jiji ambako milioni stini Ni Cha mtoto. Unapiga Tena kufuatana na urefu wa kamba yako (cheo chako) then unapewa ukurugenzi ili ukanunua magodoro ya GSM na vingine home shopping center.
Unaongezewa kamba unakula na wakubwa mijikontrakt mikubwa Kama SGR. Unanunua shamba Dumila kabla ya kuvimbiwa.
Cha msingi msiingiliane
Na wapiga kura wanaongezewa tozo la miamala tujenge matumbo ya nchi.
 
Hivi haya mambo bado yapo hadi kwenye utawala huu. Milion 60 zatumika kujengea msingi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]

53cbbe4d13054b31140d0663a688c384.jpg
 
Back
Top Bottom