Mara: Wilaya ya Bunda yatumia milioni 60 kujenga msingi wa jengo moja la kituo cha afya

Waendelee tu kwa urefu wa kamba zao, walishapewa go ahead.
 
Waibe then wapangiwe majukumu mengine badala ya kushtakiwa?
CCM wote ni mafisi/mafisadi.
Sehemu sahihi impasayo muhalifu kuishi ni gerezani/jela/lupango.
Huku kulindana hakutaweza kuipigisha hatua ya kimaendeleo hii nchi.
 
Nchi ya hovyo sana hii...

Mama alisema wale kwa urefu wa kamba,,, sasa Hapi mbona anawaingilia... Naye si akale kwake...

Hangaya vituko sana sometimes,,,, ila ndio hvo mwenye mamlaka hakosei... Na sheria inasema asishitakiwe...
 
Watakuwa wamejiongezea urefu wa kamba hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…