Hapo tuMoja ya watu walini inspire kuvuta sigara alikuwa huyu jamaa, Captain Maradona.
Hapo tu
Mkuu tumefananaGerman vs Brazil-2002
Kabisa mkuu.So far nilikosa mwalimu wa kunifundisha namna ya kuvuta na kuiinjoy, ndo maana baadae niliacha.
Ila kitu kimoja nachoweza kusema ni kwamba wanamichezo na wasanii tunaowafatilia tukiwa watoto wana michango mikubwa sana kwenye baadhi ya tabia kama uvutaji, uvaaji, swaga, unywaji wa pombe, swaga nk.
Kweli mkuu,nakumbuka tulipanda phoenix zetu hadi wilayani kucheki hili game japo wengine tulifata mkumbo tu wakati ule,baada ya mechi vijana wengi tukanyoa ile style ya nywele ya Ronaldo de lima,japo haikunivutia kwa kweli.Mkuu tumefanana
Hili gharika nililishuhudia live,nilimwambia mwenzangu leo itakuwa mwisho wa Mtani Jembe. Ile game ya juzi ilikuwa tushudie gharika kama hili,ashukuriwe mchawi waoMimi siikumbuki.. Ila mechi ambayo kamwe haitanitoka akilini mwangu ni ile Simba anamtandika Yanga 5-0. Hii mechi naweza kukuhadithia dk. kwa dk. matukio yote ya siku hiyo.
Kweli mkuu,mi nilicheki kwa jiraniKweli mkuu,nakumbuka tulipanda phoenix zetu hadi wilayani kucheki hili game japo wengine tulifata mkumbo tu wakati ule,baada ya mechi vijana wengi tukanyoa ile style ya nywele ya Ronaldo de lima,japo haikunivutia kwa kweli.
Hapo kwa Ajax kuna fundi mmoja wa kuitwa Jari Litmanen.Usinikumbishe ile squad ya Ajax, ikiongozwa na Patrick Kluivert, kushoto kuna finidi George, kulia kuna winger teleza Tijani Babangida katikati centre forward yupo Nwankwo Kanu. Mid fielders Edger David's akina de boer hii timu ilikuwa balaa. Tisa kumi yote timu yangu JUVENTUS TORINO bibi kizee kulikuwepo na akina gianluca Viali, fabrizzio Ravanelli, Zinedine Zidane, Lilian thuram, Atillio Lombardo sisi waitaliano tukibeba kombe siku hiyo. Huyu Viali akahamia Chelsea baada ya kuchomeka kombe na ikawa mwanzo wa mie kuipenda CHELSEA