Mara ya kwanza kuangalia mpira wa Ulaya ilikuwa mechi hii

Mara ya kwanza kuangalia mpira wa Ulaya ilikuwa mechi hii

So far nilikosa mwalimu wa kunifundisha namna ya kuvuta na kuiinjoy, ndo maana baadae niliacha.

Ila kitu kimoja nachoweza kusema ni kwamba wanamichezo na wasanii tunaowafatilia tukiwa watoto wana michango mikubwa sana kwenye baadhi ya tabia kama uvutaji, uvaaji, swaga, unywaji wa pombe, swaga nk.
 
nimeona hata aibu kutaja mechi ya kwanza kuiona wengi mnaonekana bado watoto ila naikumbuka fainali ya ac milan na olympic maseile ya ufaransa wakati huo timu ya ufaransa ilikuwa inaongozwa na tajiri mwanasiasa bernad Tapie ambaye baadae alifungiwa kwa skendo ya kupanga matokeo ingawa wafaransa walipata kombe lakini walikuja kunyang'anywa kombe hilo
 
France vs Brazil Fainali ya mwaka 1998..

Kuanzia hapo nikawa mshabiki mkubwa wa Zizzou fundi
 
So far nilikosa mwalimu wa kunifundisha namna ya kuvuta na kuiinjoy, ndo maana baadae niliacha.

Ila kitu kimoja nachoweza kusema ni kwamba wanamichezo na wasanii tunaowafatilia tukiwa watoto wana michango mikubwa sana kwenye baadhi ya tabia kama uvutaji, uvaaji, swaga, unywaji wa pombe, swaga nk.
Kabisa mkuu.
 
home wamenunua luninga 95 hitachi,kuanzia hapo tukaanza kuangalia mpira sema sjawahi kuwa mpenzi wa mpira,ila world cup 98 ufaransa nliangaliaangalia
 
Mimi siikumbuki.. Ila mechi ambayo kamwe haitanitoka akilini mwangu ni ile Simba anamtandika Yanga 5-0. Hii mechi naweza kukuhadithia dk. kwa dk. matukio yote ya siku hiyo.
Hili gharika nililishuhudia live,nilimwambia mwenzangu leo itakuwa mwisho wa Mtani Jembe. Ile game ya juzi ilikuwa tushudie gharika kama hili,ashukuriwe mchawi wao
 
Usinikumbishe ile squad ya Ajax, ikiongozwa na Patrick Kluivert, kushoto kuna finidi George, kulia kuna winger teleza Tijani Babangida katikati centre forward yupo Nwankwo Kanu. Mid fielders Edger David's akina de boer hii timu ilikuwa balaa. Tisa kumi yote timu yangu JUVENTUS TORINO bibi kizee kulikuwepo na akina gianluca Viali, fabrizzio Ravanelli, Zinedine Zidane, Lilian thuram, Atillio Lombardo sisi waitaliano tukibeba kombe siku hiyo. Huyu Viali akahamia Chelsea baada ya kuchomeka kombe na ikawa mwanzo wa mie kuipenda CHELSEA
Hapo kwa Ajax kuna fundi mmoja wa kuitwa Jari Litmanen.

Anajaua. Anajua haswaa
 
Back
Top Bottom