Mara ya kwanza kubet ulijiskiaje?

Mara ya kwanza kubet ulijiskiaje?

Kuna game zingine unabetia timu pinzani inapocheza na team yako.kwenye bet ushabiki unaweka pembeni..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anyway.. kuna mtu alinibetiaga kupitia acc yangu Chelsea walicheza sijui na stoke city,kama sio West ham et akabetia stoke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee iliniuma kishenzi japo stake ilikua kama jero tu.

Afu mkeka ulivovunjika Akanambia Karibu kwa Muhindi.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bet kama una presha unakufa.. but kwangu mm ni Kama mchezo fulani wa kucheza tu kama rede[emoji23]
 
haha raha sana kubeti, sitosahau pale mwaka juzi nlivokula 1 million, halafu nliweka 500, nlipga ngumu kumeza hahaha,

sitoacha huu mchezo,,

NB: kama hujawai tafadhali usijalibu,,

ila kama ni mfatiliaji wa mpira just welcum mkuu
 
Na bet kila siku wananila wahindi hawa...ila siachi

Wahindi kama wachawi. Kuna wakati nawaza kubet kabla game hazijaanza nachaguuuuua mara zianzapo siweki mkeka maana sinawajuaaaaa! Nisipoweka ndo nakuwa nimepatia ila ningeeeweeeka sasa dk 45 nyingiiiiii
 
Wahindi kama wachawi. Kuna wakati nawaza kubet kabla game hazijaanza nachaguuuuua mara zianzapo siweki mkeka maana sinawajuaaaaa! Nisipoweka ndo nakuwa nimepatia ila ningeeeweeeka sasa dk 45 nyingiiiiii
Hahah wahindi noma sana ila nitamla tu hela nyingi.... Leo nimetoa gundu for the first time nmemla hela ya chai kesho...
 
Mwana duh!
Ilikuwa mwaka jana January , jamaa tunayefanya naye kazi tulikuwa tumepanga nyumba moja akawa haniambii anavyopata extra money. Nikamuuliza, inakuwaje?

Akanambia huwa na-bet, niliogopa kukwambia mapema nikihisi utaniona mpuuzi.

Nikamwambia akanifundisha, tukawa tunabet online.

Uefa ya mwaka jana baada ya kufundishwa jinsi ya kubet, nikapiga laki 4. Nikamuonesha akafurahi sana. Tukaenda kufanya shopping ya chakula.

Kuanzia hapo nikawa na-bet nawakati mwingi tunapata pesa za matumizi ya katikati ya mwezi kwa kubet tu.

Sasa juzi hapa jf kuna mtu alitoa mfumo mzuri wa kubet, nikaufatisha kama vile vile, utofauti ulikuwa kuchagua teams tu.
Yaani nimejikuta nakula bingo la laki 9 na points.

Kubeti hakumalizi shida zako ila ukifumania, zinasogeza malengo yako kiasi.

mkuu hebu na mimi nipe hhiyo njia ya kubet jamaa alio itoa. na vipi una bet mpira au basketball
 
nlianza kwa matarajio ya kupata mamilion nlichokutana nacho siwezi kusema !!hadi raffiki yng aliponipa fomula ya kubet na kuwini leo naweza kujiita mm ni mtaalam wa kubet!!kila siku nabet na matarajio ya kukosa hua ni asilimia ndogo sana
mkuu na mimi naomba muongozo maana hapa nilipo imebidi nipumzike kwanza
 
Kubet mmmmh niliyoshinda kubwa 10.4mil
Niliyoliwa kubwa kwa mechi 1 ni 4.9mil
Chelsea vs Watford
 
Kubet mmmmh niliyoshinda kubwa 10.4mil
Niliyoliwa kubwa kwa mechi 1 ni 4.9mil
Chelsea vs Watford
Watu wanaweza dhani utani lakini kule Kwenye ule Uzi wetu pendwa kuna bwana mmoja alipiga M10...ukituliza akili na ukiwa na mtaji unapiga pesa.
 
Kubeti bwana sawa na punyeto ni laisi kuanza ila kazi kuacha duui poleni sana
 
Back
Top Bottom