Mara ya kwanza kubet ulijiskiaje?

Mara ya kwanza kubet ulijiskiaje?

Mwana duh!
Ilikuwa mwaka jana January , jamaa tunayefanya naye kazi tulikuwa tumepanga nyumba moja akawa haniambii anavyopata extra money. Nikamuuliza, inakuwaje?

Akanambia huwa na-bet, niliogopa kukwambia mapema nikihisi utaniona mpuuzi.

Nikamwambia akanifundisha, tukawa tunabet online.

Uefa ya mwaka jana baada ya kufundishwa jinsi ya kubet, nikapiga laki 4. Nikamuonesha akafurahi sana. Tukaenda kufanya shopping ya chakula.

Kuanzia hapo nikawa na-bet nawakati mwingi tunapata pesa za matumizi ya katikati ya mwezi kwa kubet tu.

Sasa juzi hapa jf kuna mtu alitoa mfumo mzuri wa kubet, nikaufatisha kama vile vile, utofauti ulikuwa kuchagua teams tu.
Yaani nimejikuta nakula bingo la laki 9 na points.

Kubeti hakumalizi shida zako ila ukifumania, zinasogeza malengo yako kiasi.
mfumo gani mkuu nidokeze
 
nlianza kwa matarajio ya kupata mamilion nlichokutana nacho siwezi kusema !!hadi raffiki yng aliponipa fomula ya kubet na kuwini leo naweza kujiita mm ni mtaalam wa kubet!!kila siku nabet na matarajio ya kukosa hua ni asilimia ndogo sana
mzee mwenyewe ndio mwanafunzi Ila nakwama sana
 
Mfano leo ningempa barca na man city[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
 
Daaaah mi nilianza mwaka 2014 niko jkt, company kubwa ya masela tukaanza kujifunza kubet, ya kwanza kabisa nilipigwa tukaendele. Kuna siku sasa karibu nidate nilichagua timu mbili tu barca na Bayern Munich, Bayern akawa tayari ameshashinda 4 bado barca hadi dk 81 bado hajapata goli, 81 mnt gooool na 87 la pili na Mimi nilikuwa nimeweka handicap na mzigo nimetia laki moja hela zenyewe za mawazo nikapiga laki saba na 88 elfu. Ndo ukawa mtaji wangu huo wa kubet.
Mbaya sanaaaa, mda mwingine ina pressure kubwa sanaaaa. Na kuwa addicted ni jambo rahisi mbaya.
Sahivi nabet kwa shida mke hataki kabisa.
Kiongozi, hongera sana.
Ukishakuwa na mke /family usiwe unaweka pesa nyingi kiasi hicho. Zikiliwa utapata pressure bure.

Jiulize siku hiyo usingeshinda!
 
man u kanilisha laki hapa natafuta namba ya p.pogba nimpe dada yangu achumbie...!
Hahahaha! Kijana hongera sana.
Una roho ngumu, ulimpa ushindi man u?

Mimi kila ninapomuamini man u huwa ananichania mkeka.
 
N
Kiongozi, hongera sana.
Ukishakuwa na mke /family usiwe unaweka pesa nyingi kiasi hicho. Zikiliwa utapata pressure bure.

Jiulize siku hiyo usingeshinda!
Ni kweli kabisa mkuu, Jana man city kanikalisha.
 
Kubet kuna wakati kunasaidia kuboost baadhi majukumu binafsi, na kuna wakati kuna haribu baadhi ya majukumu pia, ila upande wangu kuna faida kiasi nilishapata kwenye kubet, now nna mwaka wa 8 au 9 kwenye kubet
 
Yaan mtu akiongelea hivyo natamani nijue kubet jamani ndio hivyo kichwa kizito
Yaan me hata cjui wanabet kwa sh ngap Bali naona hadi wenye ajira na mishahara minono wana bet cjui kwa kwel na ctaki kujua maana kuna misamiati mingi nasikuaga Mara ods, point nk
 
Hivi unaweza kubeti mechi moja na ukalamba bingo.... Vp gharama wanaanza na shi ngap ili upewe huo mkeka

Hahhahaha Yegojudge umenichekesha baraaaa. Eti wanaanza na sh ngapi. Hiyo kitu ata sh mia moja unaweza ukala milioni. Ni wewe tuu maamuzi.
 
Nilianza kubet siku ya Kwanza ty Nkalaa 42000 kwa buku yanii afuu kipindi hicho sina hela kabisa... Nkasema kuacha siwezi aisee hadi leo niko addicted sana na kubet...
 
Yaan me hata cjui wanabet kwa sh ngap Bali naona hadi wenye ajira na mishahara minono wana bet cjui kwa kwel na ctaki kujua maana kuna misamiati mingi nasikuaga Mara ods, point nk
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] me natamani kujua nimefundishwa na kufundishwa kichwa changu tu kizito
 
Mwana duh!
Ilikuwa mwaka jana January , jamaa tunayefanya naye kazi tulikuwa tumepanga nyumba moja akawa haniambii anavyopata extra money. Nikamuuliza, inakuwaje?

Akanambia huwa na-bet, niliogopa kukwambia mapema nikihisi utaniona mpuuzi.

Nikamwambia akanifundisha, tukawa tunabet online.

Uefa ya mwaka jana baada ya kufundishwa jinsi ya kubet, nikapiga laki 4. Nikamuonesha akafurahi sana. Tukaenda kufanya shopping ya chakula.

Kuanzia hapo nikawa na-bet nawakati mwingi tunapata pesa za matumizi ya katikati ya mwezi kwa kubet tu.

Sasa juzi hapa jf kuna mtu alitoa mfumo mzuri wa kubet, nikaufatisha kama vile vile, utofauti ulikuwa kuchagua teams tu.
Yaani nimejikuta nakula bingo la laki 9 na points.

Kubeti hakumalizi shida zako ila ukifumania, zinasogeza malengo yako kiasi.
naomba nitagishe kwenye huo uzi na mm nijifunze kitu......kizur kula na nduguyo mkuu[emoji16]
 
moja ya maajabu na vituko vya kubet ni kwamba ukimaliza kuandaa mkeka wako bs unaona kabisa mahela haya hapaaaa.......mechi zikimalizika unaingia kwenye shuka unalala tuliiiii[emoji16]
 
naomba nitagishe kwenye huo uzi na mm nijifunze kitu......kizur kula na nduguyo mkuu[emoji16]
Tafuta uzi umeandika

Wazee wa kuweka mizigo (kubeti)
Umejaa wataalamu na wabobezi wa maswala ya kubeti.

Naamini huo uzi unaongoza kwa wachangiaji hapa JF.
 
Tafuta uzi umeandika

Wazee wa kuweka mizigo (kubeti)
Umejaa wataalamu na wabobezi wa maswala ya kubeti.

Naamini huo uzi unaongoza kwa wachangiaji hapa JF.
ngoja niusake
 
Back
Top Bottom