princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
[emoji23] [emoji23] nmechekajamaniMimi nikiwa sebuleni hafu nikiskia eti madogo wake au wangu wanabet nakuwa mkali balaaa kuliko ata wazazi wao. Naikumbuka ile 50.
Na bet kila siku wananila wahindi hawa...ila siachi
Hahah wahindi noma sana ila nitamla tu hela nyingi.... Leo nimetoa gundu for the first time nmemla hela ya chai kesho...Wahindi kama wachawi. Kuna wakati nawaza kubet kabla game hazijaanza nachaguuuuua mara zianzapo siweki mkeka maana sinawajuaaaaa! Nisipoweka ndo nakuwa nimepatia ila ningeeeweeeka sasa dk 45 nyingiiiiii
Mwana duh!
Ilikuwa mwaka jana January , jamaa tunayefanya naye kazi tulikuwa tumepanga nyumba moja akawa haniambii anavyopata extra money. Nikamuuliza, inakuwaje?
Akanambia huwa na-bet, niliogopa kukwambia mapema nikihisi utaniona mpuuzi.
Nikamwambia akanifundisha, tukawa tunabet online.
Uefa ya mwaka jana baada ya kufundishwa jinsi ya kubet, nikapiga laki 4. Nikamuonesha akafurahi sana. Tukaenda kufanya shopping ya chakula.
Kuanzia hapo nikawa na-bet nawakati mwingi tunapata pesa za matumizi ya katikati ya mwezi kwa kubet tu.
Sasa juzi hapa jf kuna mtu alitoa mfumo mzuri wa kubet, nikaufatisha kama vile vile, utofauti ulikuwa kuchagua teams tu.
Yaani nimejikuta nakula bingo la laki 9 na points.
Kubeti hakumalizi shida zako ila ukifumania, zinasogeza malengo yako kiasi.
anza na mechi mbili then kuwa na rafiki anae penda kubetYaan mtu akiongelea hivyo natamani nijue kubet jamani ndio hivyo kichwa kizito
mkuu na mimi naomba muongozo maana hapa nilipo imebidi nipumzike kwanzanlianza kwa matarajio ya kupata mamilion nlichokutana nacho siwezi kusema !!hadi raffiki yng aliponipa fomula ya kubet na kuwini leo naweza kujiita mm ni mtaalam wa kubet!!kila siku nabet na matarajio ya kukosa hua ni asilimia ndogo sana
jero na kuendelea mpaka lakiHivi unaweza kubeti mechi moja na ukalamba bingo.... Vp gharama wanaanza na shi ngap ili upewe huo mkeka
Watu wanaweza dhani utani lakini kule Kwenye ule Uzi wetu pendwa kuna bwana mmoja alipiga M10...ukituliza akili na ukiwa na mtaji unapiga pesa.Kubet mmmmh niliyoshinda kubwa 10.4mil
Niliyoliwa kubwa kwa mechi 1 ni 4.9mil
Chelsea vs Watford