MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
Sitafuna wakina mama wauza pombeKweli wewe mlevi mmoja. Mm nikajua ulianza kuomba namba za akina mama muuza
Natafuna pombe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sitafuna wakina mama wauza pombeKweli wewe mlevi mmoja. Mm nikajua ulianza kuomba namba za akina mama muuza
Weee mzee wangu namfaham mwenyewe alikua mtata hatari, kumuibia tu simu nlijua kuna balaa nalitengeneza. Kama kuna kitu unahitaji alipenda umuombe lakini shida hata ukiomba mara nyingi hupewi so tukawa tunamuibia tu[emoji3][emoji3]sio kwamba mzee wako alikufundisha kuwa dokoa mpaka upewe?[emoji3]
Ila asaivi umeacha😂Weee mzee wangu namfaham mwenyewe alikua mtata hatari, kumuibia tu simu nlijua kuna balaa nalitengeneza. Kama kuna kitu unahitaji alipenda umuombe lakini shida hata ukiomba mara nyingi hupewi so tukawa tunamuibia tu[emoji3][emoji3]
Teh teh teh. Kazi na dawa mkuuSitafuna wakina mama wauza pombe
Natafuna pombe
Swali gumu kweli kweli hua tunapunguza /kupumzika kuacha ni ngum kidogoIla asaivi umeacha[emoji23]
Nimeacha hahaha nimekua sasaIla asaivi umeacha[emoji23]
Swali gumu kweli kweli hua tunapunguza /kupumzika kuacha ni ngum kidogo
Short and clearIlikua tarehe 10/4/201......Siku ya Alhamis.
Nimetoka shule dingii akanigeia asee sikuamini. Mwezi wa 7 ndio nikaijua JF kutokana na kusachi hadithi gugo..
Pole zake elimu ilikwamia njiani au maana kama alihitimu miaka hio na hadi leo hajaweza kumiliki hata hio smart bas ni mtihan2011, hiyo simu nilikuwa naipenda vbaya mno lkn baadae sista angu aliniomba nimuachie akiwa anaenda chuo akadai atakaporudi ataninunulia black berry. Lkn hadi leo hata yeye hajawai kumiliki iyo black berry
That's goodnikiwa form six baada ya kufanya udalali wa vitabu kwa madogo nikaenda kununua simu kali kwa pesa yangu hizo nyingine zilikua za kupewa.