Mara ya kwanza kumiliki simu yako binafsi ya mkononi

Mara ya kwanza kumiliki simu yako binafsi ya mkononi

sio kwamba mzee wako alikufundisha kuwa dokoa mpaka upewe?[emoji3]
Weee mzee wangu namfaham mwenyewe alikua mtata hatari, kumuibia tu simu nlijua kuna balaa nalitengeneza. Kama kuna kitu unahitaji alipenda umuombe lakini shida hata ukiomba mara nyingi hupewi so tukawa tunamuibia tu[emoji3][emoji3]
 
Ilikua tarehe 10/4/201......Siku ya Alhamis.
Nimetoka shule dingii akanigeia asee sikuamini. Mwezi wa 7 ndio nikaijua JF kutokana na kusachi hadithi gugo..
 
2011, hiyo simu nilikuwa naipenda vbaya mno lkn baadae sista angu aliniomba nimuachie akiwa anaenda chuo akadai atakaporudi ataninunulia black berry. Lkn hadi leo hata yeye hajawai kumiliki iyo black berry
 
Pole zake elimu ilikwamia njiani au maana kama alihitimu miaka hio na hadi leo hajaweza kumiliki hata hio smart bas ni mtihan
 
Ilikuwa mwaka 2001 siemens c 35 nilinunua 150k. Nikiwa nimeanza ajira yangu ya kwanza.
 
2003 siemen C35 nlinunua 65000/= baada ya kujibanabana saaaaana vinauli enzi hizo ndo nimemaliza A Level nikajiunga pale veta chang'ombe kusoma information tech na baadae nikamilik Siemens flani hivi ilikuwa na vimilio vya wanyama 2005
 
nikiwa form six baada ya kufanya udalali wa vitabu kwa madogo nikaenda kununua simu kali kwa pesa yangu hizo nyingine zilikua za kupewa.
 
nikiwa form six mwaka 201_ baada ya kufanya udalali wa vitabu kwa madogo nikaenda kununua simu kali kwa pesa yangu hizo nyingine zilikua za kupewa.
 
nikiwa form six mwaka 201_ baada ya kufanya udalali wa vitabu kwa madogo nikaenda kununua simu kali kwa pesa yangu hizo nyingine zilikua za kupewa.
 
🤔Mwaka 1985 nilinunua iPhone 7 🤔

Update.
Wewe uliyedukua I'd yangu njoo ufute ulichoandika,
Ukiongopa uwe na kumbukumbu.
 
Naona unachanganya mambo, umeokota simu 1999 halafu ukaja kutumia baada ya miaka miwili!!!??

Mwaka 1999 hakukuwepo voda, celtel wala tigo, kulikuwa na GSM network ya tritel (postpaid) tu ambayo coverage yake ilikuwa hata kimara haifiki
na ilikuwa ni dar Es salam tu,
Hiyo simu uliyokota 1999 ilikuwa inatumia line gani?
Prepaid GSM zilianza kuuzwa na vodacom, August 2000, ikifuatiwa na mobitel September mwaka huo huo
Labda uniambie uliyokota simu poa ya mobitel kwa miaka hiyo unayosemea lkn kumbuka hiyo haikuwa na laini ndani yake
 
Back
Top Bottom