Mara ya kwanza kunywa kahawa ilikuwaje na ulikunywa kahawa ya aina gani?

Kuna mwamba nikiwahi kumdanganya kwamba hii kitu inaongeza heshma, yaani shughuli yake sihaba..🤣
Mwanangu yule acha ajitwangie vikombe kama 10 hivi akijua anaenda kuikomoa....😝
Kesho yake anakuja kunimaind kwamba nimemuharibia shughuli...😜 eti alipitiwa na usingizi wa pono hadi panakucha na kitobo hakugusa...😂
Yaani kuanzia skuhiyo akanifuta kwenye watuwake wa kaeibu...😝
 
Vikombe kumi ni hatari, too much caffeine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…