Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
- Thread starter
- #21
Safi sana 👌 napenda coffee pia ila nimejifunza kutengeneza ukubwani ☺️Umenikumbusha nilijua kupika kahawa nikiwa mdogo sana,,, Bibi yangu alinifundisha kupika kahawa na chupa yake kahawa ilikuwa haiishi.
Mi nakunywa moja ya kinywaji changu pendwa.