Mara ya kwanza kunywa kahawa ilikuwaje na ulikunywa kahawa ya aina gani?

Inapikwaje kahawa tunaomba darsa japo kwa ufupi
Mi kahawa ninayojua kupika inawekewa viungo na sukari,, maziwa pia ila inategemea unataka kahawa gani!! hapo utundu unacheza na kahawa unataka iweje!!! Kuna kahawa ya kumtega bwana,, kahawa kunywa usirudi,, kahawa nakupenda Tena na tena,, kahawa tupendane ,, kahawa tunywe wote , kahawa staki mazoea hizo zote ni kwa mujibu wa Bibi yangu..
Ntaleta thread yake na nitakutag
 
Koooh!!!!kooooooh!!!! Nasubiria hilo darsa kwa hamu kama hiyo kahawa ya nakupenda tena na tena 😆😆

Niaminishe kuwa utanitag katika hiyo thread leo dada
 
Usinisahau Je umeolewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…