Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 3,984
- 5,820
Nakuunga mkono mkuu. Huyu jamaa namfahamu kitambo. Ki ukweli hana lengo zuri la kusaidiana vijana. Lengo lake ni kuwaliza, haweki mambo bayana. Konakona ni nyingiSWADAKTA, awe muwazi kama wengine wanaosaka pesa kwa njia mbali mbali. Tatizo anazunguka mno, anatumia kona ya meli kufikia lengo lake.