Mara ya kwanza kupata kazi ($410) kwenye site ya Freelancer.com

Mara ya kwanza kupata kazi ($410) kwenye site ya Freelancer.com

Ndo hivyo tuu mkuu hamna nilichokosea sababu first time naregister account namba ilikua verified sasa nimepiga kazi nyingi tuu kwenye kutoa hela ndo mshike mshike ukaanzia hapo. Ila ngoja nisubirie hizo siku 90 zikiisha nione kama nitaweza kuwithdraw hizo hela. Na kingine kimewauliza kama naweza kufungua account nyingine wakasema haiwezekani. Wanazingua kishenzi yani.

Nadhani ulishindwa kuwasilisha case yako vizuri.

Customer support wapo vizuri wangekusaidia tu.

Pia kwanini usifungue Account UpWork au Freelancer.com?

Mimi account zangu zote ni verified ya UpWork hadi ile tik ya blue ninayo.

Pia ku-verify nilitoa kitambulisho changu.

Pia nikifanya video verification kuhakiki zaidi identity yangu kabla sija withdraw pesa.

Sijafahamu kwasababu gani lakini watu wengi wanaona Hii ni kazi sana but it’s not.

Lazima upitie step hizi ili uaminike zaidi.
 
Wewe acha kukurupuka.

Unadhani mimi ni mgeni hapa?

Go and hung yourself in shame!

Stupid
Hahaha, kama sio mgeni hapa ndio ina halalisha huu UTAPELI unao taka kuufanya? Kama una nia ya kusaidia watu saidia kweli, usilete ujanja ujanja wako kama wa ONTARIO hapa. PUUMBAVU.
 
Hahaha, kama sio mgeni hapa ndio ina halalisha huu UTAPELI unao taka kuufanya? Kama una nia ya kusaidia watu saidia kweli, usilete ujanja ujanja wako kama wa ONTARIO hapa. PUUMBAVU.

Unapenda kusaidiwa bure ee?

Stop being so stupid.

Tunaishi kwenye skill based economy

Wewe endelea kuwa jinga.

Tena wakati unazidi kuongea ujinga mimi nazidi kupata kazi.

Hii hapa kazi nyigine nimeamka asubuhi nimekuwa nimetafutwa.

IMG_7196.JPG

Now go and hang yourself in shame.

Acha wivu mkuu.

Tumia muda wako kufanya mambo ya maana.

Kama huna value unayoweza toa kwa watu kaa kimya ufiche upumbavu.
 
GLOBAL CITIZEN,
Usitake kuibia watu Mkuu, hizo biashara zako ni sawa na KU BET tu. Kuna watu humu wanaheshimika kwa kutoa maarifa mbali mbali, wewe unataka kuwachomolea vijana WALALAHOI pesa zao? Tena kwa masuala ya kiujanja ujanja na kubahatisha tu, kweli? Umejipachika na jina la kiujanja ujanja ili kulaghai watu wewe, PUMBAVU SANA.
 
Haujuoni ulivyo jinga?

Sasa kwa taarifa yako hapa JF, moderators wanasaidia kuhariri thread zangu.

Don’t you ask yourself why?

Kwasababu na provide VALUE.

Stop being a hater. Just appreciate.

Haya sasa onyesha wewe unasaidia nini hapa JF?

Do you have anything to offer au unaweweseka tu?

Trust me wewe jinga huna ubavu wakunisumbua mimi you di**khead
 
GLOBAL CITIZEN,
Acha kujifanya unajua sana wewe dogo, hayo unayoyaongelea hapa mtu yeyote serious anaweza kupata taarifa zake sahihi. Wewe eleza wazi wazi hapa kwamba shida yako ni pesa, na kwa hivi unatafuta vijana wakulipe pesa ili utatue shida zako lakini pia wao utawajulisha hizo fursa zilizoko kwenye mitandao. Usizunguke zunguke sana.
Taabu yangu mimi ni hapo tu, unapojaribu kutaka kupotosha kwamba una nia njema ya kujulisha fursa zilizoko mitandaoni vijana wetu masikini, wakati umejificha kwenye utapeli na njaa ya kusaka pesa kwa hao vijana wetu masikini. Shida yangu ni hapo tu, hebu funguka sasa, kuwa muwazi. Katika hili bandiko lako umelenga ni hasa? JIBU
 
GLOBAL CITIZEN,
Unasaidia jamii au unatafuta wateja? Hii ni biashara na sio huduma, hebu weka wazi Mkuu usifiche fiche. Kwenye huduma, E-mail ya nini tena? Huduma yako ni yakibaguzi, eti?
 
Unasaidia jamii au unatafuta wateja? Hii ni biashara na sio huduma, hebu weka wazi Mkuu usifiche fiche. Kwenye huduma, E-mail ya nini tena? Huduma yako ni yakibaguzi, eti?
Hapa kwenye email ndio kuna ukakasi zaidi...
 
Unasaidia jamii au unatafuta wateja? Hii ni biashara na sio huduma, hebu weka wazi Mkuu usifiche fiche. Kwenye huduma, E-mail ya nini tena? Huduma yako ni yakibaguzi, eti?

Tulia wewe.

Utakufa kwa wivu.

Nikuambie wewe huwezi kunirudisha nyuma na negative comments zako.

I promise nitakuwa hapa all day everyday.

And guess what?

There is nothing you can do about it.

Hapo vipi.

You see. You are wasting your time you loser.

The more you hate the more the people appreciate me.

Utapata tabu sana kwangu.
 
GLOBAL CITIZEN,
Wewe unataka kula hela za hawa vijana masikini bure bure tu? Uwe na huruma aisee, wapatie hayo maarifa hapa hapa kama kweli una nia njema. Waonee huruma wenzio, tayari CCM imeshawachapa viboko vya kutosha, na wewe tena?
Dah watanzania bwana sijui nani katuloga?

Lets try to be fair here...

Mtu kasoma mpaka usiku anakesha (mda huowewe uko kifuani mwa mchepuko) kapata ujuzi kalipia bando, kalipia kozi/vitabu kwa kutumia pesa yake mfukoni... Katumia muda wake kusoma alafu leo aje akufundishe bure, seriously?

Wakati anakufundisha lazima aache kazi zake ili akufundishe, bado tu unataka ufundishwe bure!!

Ivi wakati unasoma sekondari au chuo hukulipa ada? Kwanini hukusema usome bure chuo? Na kwanini waliposema ulipe ada huku wakashifu?
 
Hahaha, kama sio mgeni hapa ndio ina halalisha huu UTAPELI unao taka kuufanya? Kama una nia ya kusaidia watu saidia kweli, usilete ujanja ujanja wako kama wa ONTARIO hapa. PUUMBAVU.
Ivi wakati unasoma sekondari au chuo hukulipa ada? Kwanini hukusema usome bure chuo? Na ulipoambiwa ulipe kwanini huwaita matapeli?
 
GLOBAL CITIZEN,
Hahahaa, Mkuu hapo kwenye kutumiwa E-mail ndio kuna shida. Mengine yote upo sahihi kabisa, lakini sas hapo tu kwenye e-mail ndio tatizo langu linapo anzia. Hebu jaribu kuweka sawa kidogo basi, hii ni project kama ya ndugu Ontario, au? Huko kwenye E-mail hakuna KIINGILIO chochote ama UCHAKAVU? Hahahaha
 
Ivi wakati unasoma sekondari au chuo hukulipa ada? Kwanini hukusema usome bure chuo? Na ulipoambiwa ulipe kwanini huwaita matapeli?
Mkuu hebu jaribu kuelewa hoja yangu basi, usikurupuke tu kama Watendaji wa CCM walipokfanya maamuzi ya kuwasainisha "Wagombea wao wapendwa" kule vichochoroni. Huko SEKONDARI au CHUO ada huwa haitangazwi, eti?
 
Dah watanzania bwana sijui nani katuloga?

Lets try to be fair here...

Mtu kasoma mpaka usiku anakesha (mda huowewe uko kifuani mwa mchepuko) kapata ujuzi kalipia bando, kalipia kozi/vitabu kwa kutumia pesa yake mfukoni... Katumia muda wake kusoma alafu leo aje akufundishe bure, seriously?

Wakati anakufundisha lazima aache kazi zake ili akufundishe, bado tu unataka ufundishwe bure!!

Ivi wakati unasoma sekondari au chuo hukulipa ada? Kwanini hukusema usome bure chuo? Na kwanini waliposema ulipe ada huku wakashifu?
Kabla ya kuchangia chochote kile, jifunze kushirikisha mwili wako wote katika jambo husika. Haya ndio matatizo ya kutumia kiungo kimoja tu katika kufikiri na kujenga hoja. Mbona ONTARIO ameeleweka na PESASHIP yake? Huyu ndugu yako anakwamia wapi? Asilete ujanja ujanja kwenye hii mada yake, awe "straight" kama Ontario and et al.
 
SWADAKTA, awe muwazi kama wengine wanaosaka pesa kwa njia mbali mbali. Tatizo anazunguka mno, anatumia kona ya meli kufikia lengo lake.
 
Back
Top Bottom