GLOBAL CITIZEN
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 767
- 1,657
- Thread starter
- #21
Ndo hivyo tuu mkuu hamna nilichokosea sababu first time naregister account namba ilikua verified sasa nimepiga kazi nyingi tuu kwenye kutoa hela ndo mshike mshike ukaanzia hapo. Ila ngoja nisubirie hizo siku 90 zikiisha nione kama nitaweza kuwithdraw hizo hela. Na kingine kimewauliza kama naweza kufungua account nyingine wakasema haiwezekani. Wanazingua kishenzi yani.
Nadhani ulishindwa kuwasilisha case yako vizuri.
Customer support wapo vizuri wangekusaidia tu.
Pia kwanini usifungue Account UpWork au Freelancer.com?
Mimi account zangu zote ni verified ya UpWork hadi ile tik ya blue ninayo.
Pia ku-verify nilitoa kitambulisho changu.
Pia nikifanya video verification kuhakiki zaidi identity yangu kabla sija withdraw pesa.
Sijafahamu kwasababu gani lakini watu wengi wanaona Hii ni kazi sana but it’s not.
Lazima upitie step hizi ili uaminike zaidi.