Mara ya kwanza kupata kazi ($410) kwenye site ya Freelancer.com

SWADAKTA, awe muwazi kama wengine wanaosaka pesa kwa njia mbali mbali. Tatizo anazunguka mno, anatumia kona ya meli kufikia lengo lake.
Nakuunga mkono mkuu. Huyu jamaa namfahamu kitambo. Ki ukweli hana lengo zuri la kusaidiana vijana. Lengo lake ni kuwaliza, haweki mambo bayana. Konakona ni nyingi
 
Nakuunga mkono mkuu. Huyu jamaa namfahamu kitambo. Ki ukweli hana lengo zuri la kusaidiana vijana. Lengo lake ni kuwaliza, haweki mambo bayana. Konakona ni nyingi

Kinachokusukuma kuandika haya ni

1 • woga

2 • chuki

3 • wivu

Mimi ni muwazi sana.

Ukihitaji skill yangu + muda nitakutoza pesa.

Je, hivyo ni vibaya?

Nop, I don’t think so.

Nimeandika hapa JF kama wewe huitaji au huoni value katika vitu navyojaribu ku-share hapa JF please ignore.

Stop being a hater.

Trust me, hakuna anayekusikiliza kwasababu wakati unaandika hapa watu wenye uhitaji wanawasiliana na mimi.

Flee your self from hate mischief and jealousy my brother.
 
GLOBAL CITIZEN,
Sisi hatuna nia ya kuzuia wateja wako wasikufuate huko mafichoni kwako, hapa tunajaribu kupunguza tu ili kusiwe na KUNDI KUBWA litakalo angua kilio na kusaga meno hapo baadae. Sawa sawa?
 
Nyie watu nishskutana nao wengi wahuni tu, kuna jamaa wa droppshiping aliijita frankfrain mshenzi kweli alikimbia na hela! Mnasoma tuvitu mitandaon na kutafta ada za wenye uchu na kujua, sometimes vitu mnatuletea hata havina payment gateways kwa East africa
 
Very good, nadhani ushapigwa kma mie
GLOBAL CITIZEN,
Wewe unataka kula hela za hawa vijana masikini bure bure tu? Uwe na huruma aisee, wapatie hayo maarifa hapa hapa kama kweli una nia njema. Waonee huruma wenzio, tayari CCM imeshawachapa viboko vya kutosha, na wewe tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…