Mara ya kwanza kutongozwa na Mke wa mtu na baada ya kushiriki tendo ananiambia amenasa mimba

Hahahahahahahaha daaaah!!!!

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Daaaah.

Aisee!!!
 
Hupendi ujinga wakati wewe ni mjinga pia. Inawezekana vipi mtu akufanyie hisani zote hizo halafu una block?
 
Uyo usimpe chochote subir mtot azaliwe uchek copy yko kama ni yako unatuma tu elfu 20 kila mwezi
 
Godl diggers wajifunze. Pia sisi tulio kwenye ndoa tujua sio watoto wote tuliozaa ni wetu.
Sio kweli, wanawake wengi ni wapuuzi kiasili. Hilo sio tatizo la mwanamke ni tatizo la huyu kijana mwenzetu.

Mwanamke kufanya upuuzi ni kitu cha kawaida sana, ila sisi wanaume ndio tunaoteleza maana kwetu upuuzi sio swala la kawaida.
 
Lea mimba wewe mvulana.
Mtoto akizaliwa, fanya juu chini mume mwenza asijue kabisa.
muache mwanaume mwenzio alee mtoto, akifika miaka 10 muite mume mwenza , mpe kinwaji alafu mwambie wewe ndio ulitia mimba kwa bahati mbaya ulisahau kuvaa mpira.
hii itasaidia uhusiano wenu na pia mume atajua alipofeli mpaka mkewe akamvulia X-wake.
 
Ndg kimbia huo ni mtego, tena usigeuke
 
Nimekubali wewe ni tandabui
 
Sio kweli, wanawake wengi ni wapuuzi kiasili. Hilo sio tatizo la mwanamke ni tatizo la huyu kijana mwenzetu.

Mwanamke kufanya upuuzi ni kitu cha kawaida sana, ila sisi wanaume ndio tunaoteleza maana kwetu upuuzi sio swala la kawaida.
Sasa huyo Mwanamke na upuuzi wake imeshakula kwake.
 
Wafusika mmekutana🤣🤣
 
Kweli dunia ina maajabau mume wake anaona hana maajabu wewe unamuona kama dhahabu? We utakuwa Msukuma tu.

Samahani lakini watani zangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…