Mara ya kwanza kutongozwa na Mke wa mtu na baada ya kushiriki tendo ananiambia amenasa mimba

Sawa bwana. Sasa unafikir mafuriko yataisha kwel huko Hanang kwa mtindo huu??
 
Kama ni kweli, basi, ninyi nyote, yaani wewe na huyo mwanamke hamna akili. Mna ujinga mwingi na utoto.
 
Lengo la hadith ni ku promote ujinga wa "Kataa ndoa" hamna kitu hapo.
 
hivi una akili kweli,mimba ya wiki?
 
Kama sio chai MKuu basi ujengewe sanamu maana umeua mende Kwa bomu la mkono
 
Sijaoa bado. Lakini nikioa nitamonitor mali yangu kama CIA, kila inachofanya na kila inapoenda. Na hata mtoto akizaliwa tu basi napima DNA effective immediately.
Na siku atakayocheat basi nitatoa mfano wa mara moja tu, mfano ambao hauludiwi mara mbili. Kwake na kwa huyo mbuzi.

Usicheze na mali za watu kijana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…