Mara ya kwanza kutongozwa na Mke wa mtu na baada ya kushiriki tendo ananiambia amenasa mimba

Utaishia pabaya ...cool down haya mambo hayaitaji hasira.
 
Aiseee gemu ile ilikuwa taaaaamuuuuuu sana! Yaani ulikuwa uhondo tasilimu na kama si ULODA!
wajuvi wa mambo wanasema game ikiwa tamu sana siku hiyo mimba inaingia sjui itakua kweli? na kweli sometimes inakuaga kabambe na tofauti.
 
New Id old member, mwendo wa ufuska asubuhi mchana na jion salaleh kiba hakuropoka kusema mapenzi yana run 🌍
 
Kwa hiyo l
Kwa hiyo lengo lako ulitaka tu wanaume tudindishe au siyo 🤔🤔🤔
 
Hivi wewe hiyo tabia ya kutia mimba wake za watu hujaiacha tu?
 
Wanawake acheni tamaa hapo baada ya mtoto kuzaliwa kuna ugomvi mkubwa utaopelekea ndoa kuvunjika na jamaa hataki kuonekana yeye ndio tatizo kamblock huyo mjinga Kila Kona.
 
Safi, nipe namba yake na mimi nipigie zuzu hilo.
 
Chai, bao 7 kuweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…