Mara ya Kwanza

mnachekacheka mara tuuuuuuuuuuuuu imenatana........siku ya kwanza.........siku yapili anaileta mwenyewe............ukienda kuchukuwa maziwa yeye yupo nyuma...........mnaingia kwenye vichaka........hata miba hamsikii........ukirudi unaulizwa mbona umechelewa na una majani kichwani kulikoni?
 
dah unanikumbusha mbali mambo ya vichakani nakumbuka siku nilichomwa na mwiba kwenye goti nilikuwa nachinja kobe (na-do) na demu mmoja hivi wala sikusikia maumivu wakati na-do ila baada ya kumaliza nilisikia maumivu mpk kutembea ilikuwa shida
 
Jamani naomba msaada japo ni tofauti na topic hii, eti kama nkitaka kutuma msg kama hivi nafanyaje? mgeni kdg humu.

Mwanzo hapo juu kabla haujafungua thread, kuna sehemu imeandikwa 'post new topic'. click hapo haapooooo...
 
Mwanzo hapo juu kabla haujafungua thread, kuna sehemu imeandikwa 'post new topic'. click hapo haapooooo...
mfundishe na ku-PM ili niwasiliane nae
 
We unataka kujua mara ya kwanza ikuwaje iliiweje? Vingine havisimuliki humu kwani ni vya kuchekesha sana. Wengine tulikutana wote wawili tukiwa hatujui kitu. Piga picha hiyo upate jibu.

...Kuna mtu ameishamaliza kila kitu hapo juu..... SI JASHO HILO !!!:A S wink::rofl::rofl:

 
Mimi nililia kwa maumivu makali, after all nilikua na 27years
 
Mi nilichomwa na kijiti maeneo yalee walati huo gesti zetu zilikuwa migombani.! looh umenikumbusha mbali sana...
 
vp kuhusu maisha bora kwa kila mtanzania......mambo saaizi shwari TUJADILI HAYA...mengine ni upuuzi tu ambao ungeweza kujadili na mwenza wako kwenye hako kachumba kako.........lete zile stori za kuwasaidia hata hao watoto uliopata baada ya huo uzoefu wako
SAMAHANI KWA KUINGILIA UHURU WAKO MWANDISHI WA KUJIEXPRESS LAKINI KUNA WATU FULANI AKIWEMO MIMI SIUNGI SANA MKONO KUJADILI MAMBO YASIYOKUWA NA MBELE WALA NINI........anyway, ukijua ;bubu atakakusema'' alivyo na anavyomjingijingi demu wake itakusaidia nini ................NI HAYO TU MJOMBA NIKIPATA NAULI........-
 
Mhnnnnnn! it was nice nikikumbuka!!unajilipua hata goal nne!!noma!Ukiingia kulala unakamia lazima.....umalizane nakitanda!!!But naomba niulize je Wanawake inakuwaje for the frist time??
 
He!!!!!! hii sasa kali.

Duh mnanikumbusha stori moja kuna binti wa bara alikuwa anaolewa na jamaa la pwani, mama mzazi akampa darasa kuwa awe makini kwa kuhakikisha kuwa tendo la ndoa halifanywi sehemu nyingine zaidi ya ile ambayo jamaa ataanza nayo. Bahati mbaya sana jamaa alikuwa amekubuhu kwenye mambo ya mombasa akaanzia ambako siko kwa kawaida ikabidi binti awe mkali sana kuzuia asiguswe kule kwa kawaida. Baada ya mwezi mama anauliza maendeleo akapewa stori, karibu azimie.
 
hii ni sehemu ya mahusiano na mapenzi sasa unataka tujadili maisha bora kwa watz wakati kuna sehemu za kujadili siasa hujaziona? halafu unasema mambo haya hayana mbele wala nyuma wakati ndio yanapendwa kuliko hizo siasa zako za vijiweni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…