Mara ya mwisho kuenjoy mapenzi ni pale nilipokutana na bar maid wa kimasai

Zee la madawa

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,895
Reaction score
4,478
Yule bar maid ameniachia gundu kusema ukweli aisee kwanza alikuwa na shape amejazia kwenye hips aisee si mnene ni model fulani hivi ila alikuwa amejazia kwenye hips aisee yule bar maid tulienjoy sana malavi davi mpaka nilikuwa dau ya zaidi ya lile tulioahidiana aisee na sijui yule mmasai mapenzi alijulia wapi aisee Tabora hiyo maeneo ya sikonge nimejitahidi kumsaka sikumpata tena na nahisi yule ndiyo aliniachia gundu ya kutopenda kwingine zaidi ya kwake Mo...l...l..e..l toto la kimasai
 
Rudi umasaini ukachague mke kule wote wapo hivyo, wanapitia kozi maalumu za kijadi.
 
Wewe ulikutana na jini
 
masai dada morani wako anakutafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…