Mara ya mwisho kupigwa, kupigana au kupiga mtu ilikuwa lini na kwanini?

Mi nakumbuka ilikua mwaka 2000 niko form four tulikua sekondari ila tumepanga mtaani geto sasa kuna jamaa flani alikua anasoma veta tulipanga nae mtaani hapo sasa mi nilikua wakishua jamaa mtoto wa mbwa nazani akawa na wivu sasa kesho yake alikua anasafiri kuludi kwao alikua amefunga chuo sasa usiku nimekaa nakuta jamaa kaja kukojoa mlangoni kwangu mkojo wote ukaingia ndani aisee nilipata hasira jamaa alikua ananichukulia poa ile kutoka sikumuuliza nilimpa ngumu kama tatu za uso zile kali sana nikapiga kama ngumi nne za mbavu nikapiga mbili za tumbo jamaa aka fleti chini katepeta hakuamini washkaji walikua nje walishangilia hatari miluzi sana alafu jamaa lilikua kubwaa nikalikalisha ila kusema ukweli nili mbahatisha tu jamaa kwa uoga nasikia aliamka saa kumi usiku akawai stendi aliogopa labda kesho ntamuendelezea. sikuwai kumuona tena yule jamaa da ningemuua siku ile alafu kilichonipa courage ni ngumi za tyson nikasema ngoja ni test kwa huyu
 
dah nimewah kupigwa na jamaa. mi napenda saana mpira afu ni mshabiki wa man u.siku moja tulikua tunacheza man u na chelsea.hii mechi kawaida huwa inakelele saana na mimi ndo nilikua na kelele mle ndani na nakumbuka man u tulishindaga 2-1 goli la pili alifunga lingard kutokea sub.mimi nilikaa mbele ya jamaa wa chelsea baada ya kuwafunga nikawa na kelele saana.jamaa akanambia namtinga mbele haoni. nikamwambia weee mpumbavu utanambia nini wewe kwa dharau. daah kumbe jamaa kachukia. alinisogelea nikashtukia kanipiga kichwa kimoja matata saana nikaona maluelue mpaka kudondokea ving'amuzi.ile nainuka nakutana na ngumi ya uso nikadondoka chini tena na ilikua karibu na mlango.nilivyo inuka niliangalia mlango nikatoka nduuki break maskan na kelele zoote ziliisha.asubuh niliamka nimevimba uso nilikua kituko mtaani.

[emoji23][emoji23][emoji23]
Sema mashabiki wa nyumbu mnaboa
 
Nilikua na mwanamke mgomvi sana. weakness yako ni hio tu anapenda ubabe.Yaani kila kitu fresh ila ukipishana nae kauli tu ngumi mkononi.Ameshanikwida mara kibao,Ameshawai nirushia stuli ya kioo nikakwepa nikala kona.Mwanamke ni jemedari.Tukiwa poa hua ananipa stori za bwanake wa mwisho (muuza madini)Walikua wanadundana mpaka wanang'atana.Wao ni vita kila siku wanadundana mpaka wanachaniana nguo.Nikamwambia mama vurugu sijazoea nitakukimbia.Mwisho wa siku alipishana kauli na konda wa basi la mkoa.Konda ana matusi laana.Mwanamke alivua skuna alimpiga konda za kichwa kama nne mfululizo.Konda damu tupu.Nashuhudia kwa macho yangu.Ugomvi uliamuliwa na polisi wa stendi na aliwekwa ndani.Alipotoka tu Kuanzia siku hio ndio ilikua mwisho wetu..

Zaidi ya hapo kupigana kabisakabisa ilikua darasa la pili.na nilipigwa sana.Nilichakazwa
 
Mara ya mwisho nimepigana nikiwa form two, naepigana nae alikua form four, alinichapa haswaa
 
Hahahahahahah mkuu umenifanya nisahu 10k yangu nilipigwa na kanji
dah nimewah kupigwa na jamaa. mi napenda saana mpira afu ni mshabiki wa man u.siku moja tulikua tunacheza man u na chelsea.hii mechi kawaida huwa inakelele saana na mimi ndo nilikua na kelele mle ndani na nakumbuka man u tulishindaga 2-1 goli la pili alifunga lingard kutokea sub.mimi nilikaa mbele ya jamaa wa chelsea baada ya kuwafunga nikawa na kelele saana.jamaa akanambia namtinga mbele haoni. nikamwambia weee mpumbavu utanambia nini wewe kwa dharau. daah kumbe jamaa kachukia. alinisogelea nikashtukia kanipiga kichwa kimoja matata saana nikaona maluelue mpaka kudondokea ving'amuzi.ile nainuka nakutana na ngumi ya uso nikadondoka chini tena na ilikua karibu na mlango.nilivyo inuka niliangalia mlango nikatoka nduuki break maskan na kelele zoote ziliisha.asubuh niliamka nimevimba uso nilikua kituko mtaani.
 
Napenda kutumia maneno kwenye kuamua ugomvi hata mtu aniudhi..na nikimuudhi fasta na apologise. Mara ya mwisho tulishikiana visu na baba mwenye nyumba!Zenji
 
Mi nakumbuka ilikua mwaka 2000 niko form four tulikua sekondari ila tumepanga mtaani geto sasa kuna jamaa flani alikua anasoma veta tulipanga nae mtaani hapo sasa mi nilikua wakishua jamaa mtoto wa mbwa nazani akawa na wivu sasa kesho yake alikua anasafiri kuludi kwao alikua amefunga chuo sasa usiku nimekaa nakuta jamaa kaja kukojoa mlangoni kwangu mkojo wote ukaingia ndani aisee nilipata hasira jamaa alikua ananichukulia poa ile kutoka sikumuuliza nilimpa ngumu kama tatu za uso zile kali sana nikapiga kama ngumi nne za mbavu nikapiga mbili za tumbo jamaa aka fleti chini katepeta hakuamini washkaji walikua nje walishangilia hatari miluzi sana alafu jamaa lilikua kubwaa nikalikalisha ila kusema ukweli nili mbahatisha tu jamaa kwa uoga nasikia aliamka saa kumi usiku akawai stendi aliogopa labda kesho ntamuendelezea. sikuwai kumuona tena yule jamaa da ningemuua siku ile alafu kilichonipa courage ni ngumi za tyson nikasema ngoja ni test kwa huyu
ntakutafuta nilipe kisasi dadeki sijasahau
 
Back
Top Bottom