Mara ya mwisho kupima HIV ni lini?

Nina mwaka sijapima ila leo nimeamua kupima natumia kipimo hiki cha mate vipimo vya kutoboana na sindano kwangu sivipendi.

Je, wewe mara ya mwisho kupima lini kama ujapima pima?

View attachment 3088593
Hichi ni kile Cha kutumia sample ya mate..

Unachukua sample ya mate yako unajipimaa..

Nakusalimia mdogo angu upo powa unaendeleajee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…