Mamsosa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2024
- 1,047
- 2,246
Matendo yako ndiyo anguko lako! Kama unafanya zinaa hovyo bila tahadhari, unapaswa si kupima tu bali kuwasilisha gharama za mazishi yako kwa mwanasheria kabla hujafa!Nina mwaka sijapima ila leo nimeamua kupima natumia kipimo hiki cha mate vipimo vya kutoboana na sindano kwangu sivipendi.
Je, wewe mara ya mwisho kupima lini kama ujapima pima?
View attachment 3088593