Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ushauri ni kwa wale wafanya ngono sio mimijitahidi kupima mara kwa mara
ndaa tu nisije mkosa mwana.kuna tuzo yoyote imetolewa?
Tupo wengi kama weweMimi napima kupitia wife... Siku akiniambia anao najua nimekwisha
napenda sema nakosa tu mda ningekuwa na mda ingekuwa kila siku napimaHaitakiwi kupima Mara kwa Mara mkuu
ndoa tu huna makando makando?Huu ushauri ni kwa wale wafanya ngono sio mimi
jitahidi wikii uptime sawaDec 2022
Hebu tupe faida za kupima mara kwa mara....hakikisha majibu utakayoyaleta hapa siyo yale ya kumezeshwa yaani hakikisha umefikiria kabisaaa na umejihakikishia kwa majibu utakayonipa sintokuwa na swali la ziadajitahidi kupima mara kwa mara
sana mwezi usihishe uwe umepimaKama sikosei mara ya mwisho ilikua 2017 june
mnapima pima sana mgundue nini lakinihapana mama mkwe najia
ndaa tu nisije mkosa mwana.
Mi napima demu tu bas kama Hana mi sinaumekaa
sana mwezi usihishe uwe umepima
.afya yako af unakuwa huna wasiwasi ata ukiluka bila kondomHebu tupe faida za kupima mara kwa mara....hakikisha majibu utakayoyaleta hapa siyo yale ya kumezeshwa yaani hakikisha umefikiria kabisaaa na umejihakikishia kwa majibu utakayonipa sintokuwa na swali la ziada
hupo au ndio ulipotea zambiamnapima pima sana mgundue nini lakini
kwa mwezi unakutana na mademu wangapi?Mi napima demu tu bas kama Hana mi sina
Kupima pima kila mara unamtafuta Mungu maneno siyo.
Moja au wawili, wakati mwingine naweza kaaa mwezi mzima sijapigakwa mwezi unakutana na mademu wangapi?