Hapana.
π103 February mwishoni, ila nimeanza mazoezi
Duh mm wakat Nina miak 18 nilikuwa na kilo55 alafu bibiyangu akawa na 45 alisikitika sana πππ40kg tangu mwaka 2016 hadi sasa hata nile msosi vp siongezeki uzito
Mfuko mmoja wa cementMimi nilikuwa na kilo 56, ni kama wiki tatu zimepita sasa. Wewe je ulikuwa na ngapi?View attachment 2944524
ππ kuna jamaa ananiambiaga mimi na mifupa ya ndegeDuh mm wakat Nina miak 18 nilikuwa na kilo55 alafu bibiyangu akawa na 45 alisikitika sana πππ
asantePoleee
,πππ umeyatimbaHapana bado sijajifungua hata mtoto mmoja mkuu, vipi hapo is it ok ?
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Unakula upepo
81 kgMimi nilikuwa na kilo 56, ni kama wiki tatu zimepita sasa. Wewe je ulikuwa na ngapi?View attachment 2944524
Kbsaaa kbsaa uzito mdgo hata show zake inakuwa na mashakahuo uzito kwa mwanaume ni mdogo sana, ongeza ufike angalau 70kg-80kg.
Kijana piga kitimoto angalau ufike kilo 70 HVMimi nilikuwa na kilo 56, ni kama wiki tatu zimepita sasa. Wewe je ulikuwa na ngapi?View attachment 2944524