Mara ya mwisho Simba kufungwa Taifa

" Namshangaa sana Shabiki wa Yanga FC anayetumia muda wake mwingi Kuidhihaki Simba SC inabebwa. Hivi Timu yetu ( Yanga ) inapoteza alama 8 dhidi ya Prisons, dhidi ya Mbeya City, dhidi ya Coastal Union na dhidi ya Polisi halafu unatumia nguvu Kubwa Kuitukana Simba SC? Kwahiyo na Yanga FC istahili Kubebwa ili isipate Sare 4? "

Jr[emoji769]
 
Unaongea mpira au unaongea ushabiki? Simba ina nini isifungwe? Imefungwa Liverpool iliyo zitesa team kubwa zote EPL tena na team inayo pambana kushuka daraja sasa unapo sema haiwezekani Simba kufungwa una maana gani? Sema Simba wana asilimia kubwa ya kushinda lkn usikomae eti haiwezekani kufungwa , Simba imefungwa na Mwadui, JKT unataka kuniambia walifugwa kwa kupenda?
haiwezekani yanga akavunja hiyo record mkuu. na yanga wakienda hivyo hiyo siku kujifanya wanatafuta ushindi watachezea magoli mengi sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ushindi wa draw yanga wanaweza pata si zaid ya hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo bikira ya taifa mmemtunzia Mme wenu, J.pili ya tarehe 08 ndiyo harusi, na Nikita inachanwa kweupe pale taifa a.k.a kwa Mkapa a.k.a kwa mchina.
Nikita = Bikira
 
Kwani mechi vs sevila na hizo za kina al ahly ipi ilitangulia? Kagera sukari vp?
 
Aya maneno meeeengiii sasa hivi mmejificha nyuma ya keyboard aibuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…